Lowest ranked PUTS ni kubwa zaidi ya lowest ranked PHTS, japokua hazipishani kwa kiwango kikubwa sana.Na hata initial za salary zao zinatofautiana vyuo vikuu kama IDSM, SUA, MUST nk wanatumia PUTS ila kwenye taasisi za elimu ya juu mfano NIT, IFM nk wanatumia PHTS . kuna mdau aliwai nambia hawa wa PHTS ndio ipo juu kidogo kuliko PUTS sijui ni kweli au maneno tu
Kwenye masters haisumbui kuna jamaa angu ana masters ila aliomba zile za HESLB .na ilikubali tuNinavyojua mfumo unazuia mtu wa degree kuomba kz za diploma,kwenye masters sina uhakika
Anaejua exactly figure za hizo lowest za PHTS na PUTS afunguke. Maana hakuna ambae ashawahi jibu hili swali zaidi ya maneno tuLowest ranked PUTS ni kubwa zaidi ya lowest ranked PHTS, japokua hazipishani kwa kiwango kikubwa sana.
Kambi ni popote mkuu. Kikubwa mkono uende kinywani lakini jambo la kutotingisha hali za wengine ni muhimu pia wakati tunazisaka hizi kambiApa sasa kinachofata sasa ni kumfata kunguru wa manzese jeshini tu nasubiri post yoyote ya jeshi apa
Nimeona mkuuHebu chungulia PM
Mkuu hakuna anayefahamu utoaji wa maks wa oral mkuu labda awe mtu wa kwenye panel tofauti na hapo we tegemea chochoteNaomba kuuliza ili ufaulu oral kazma ujibu exactly answers au ata ukiwa na concept yan mfano umeambiwa u define kitu ukitoa concept yake ilo swali unakua umepata au chaka, kwa yoyote mwenye uzoefu plz
Wew unasubr Majibu ya taasisi gan?Mkuu hakuna anayefahamu utoaji wa maks wa oral mkuu labda awe mtu wa kwenye panel tofauti na hapo we tegemea chochote
Mie nishitwa kazini mkuu ila Bado utaratibu haujakamilika pia Bado nasubr majibu Ya IAE Nilipiga interview pia nasubiri mkeka wa ASA kwenda interview 🤣🤣🤣 Pia nasubiri mkeka Wa TRA Yan kifupi utumishi wamedandia mtumbi wa vibengo mkuu🤣Wew unasubr Malibu ya taasisi gan?
Safi sana mkuu na hongera mno post nilikua ngap ulopata na oral mliingia wangapMie nishitwa kazini mkuu ila Bado utaratibu haujakamilika pia Bado nasubr majibu Ya IAE Nilipiga interview pia nasubiri mkeka wa ASA kwenda interview 🤣🤣🤣 Pia nasubiri mkeka Wa TRA Yan kifupi utumishi wamedandia mtumbi wa vibengo mkuu🤣
Shift-in charge ni kiongozi anayewasimamia wafanyakazi wote kwenye mzani husika mfano kama pale mizani ya vigwaza, au makambako, popote pale wafanyakazi wote wapo chini ya SHIFT IN CHARGE. yaani WEIGHTBRIDGE OPERATOR, OFFICE ASSISTANT, DRIVER na walinzi wote wanaripot kwa SHIFT IN CHARGE.wakuu Tanroad Geita.kuna kazi wametangaza sasa mm nafit kwenye post ya Shift-in charge.so nashangaa upande wa qualifications wanahitaji age not less than 35.wana maana gani na ni vipi wanaweka kigezo cha umri ??hivi wanaijua njaa ya mtaani hawa doh
😂😂😂😂Kwamba asaivi unawakanda utumishi hahhhhMie nishitwa kazini mkuu ila Bado utaratibu haujakamilika pia Bado nasubr majibu Ya IAE Nilipiga interview pia nasubiri mkeka wa ASA kwenda interview 🤣🤣🤣 Pia nasubiri mkeka Wa TRA Yan kifupi utumishi wamedandia mtumbi wa vibengo mkuu🤣
Hata kwenye masters mfumo upo hivyo. Huwezi kuomba kazi inayotaka first degree ukiwa na masters.Ninavyojua mfumo unazuia mtu wa degree kuomba kz za diploma,kwenye masters sina uhakika
Post ilitaka watu 5 ila oral tulikua kama 30Safi sana mkuu na hongera mno post nilikua ngap ulopata na oral mliingia wangap
Acha tu mkuu ninawakanda ipasavyo🤣🤣 situation niliyonayo ni kua nikikandwa ni Kama nimewakanda na nikiwakanda nimewakanda tu😂😂😂😂Kwamba asaivi unawakanda utumishi hahhhh
Kwel kaka huu mwaka watakukomaPost ilitaka watu 5 ila oral tulikua kama 30
AhahaAcha tu mkuu ninawakanda ipasavyo🤣🤣 situation niliyonayo ni kua nikikandwa ni Kama nimewakanda na nikiwakanda nimewakanda tu
Based na wew ulivofanya unadhan nn kimekubeba zaid confidence auPost ilitaka watu 5 ila oral tulikua kama 30