Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Lowest ranked PUTS ni kubwa zaidi ya lowest ranked PHTS, japokua hazipishani kwa kiwango kikubwa sana.Na hata initial za salary zao zinatofautiana vyuo vikuu kama IDSM, SUA, MUST nk wanatumia PUTS ila kwenye taasisi za elimu ya juu mfano NIT, IFM nk wanatumia PHTS . kuna mdau aliwai nambia hawa wa PHTS ndio ipo juu kidogo kuliko PUTS sijui ni kweli au maneno tu