Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Mpaka tarehe 14 wewe endelea kujifua ili ufurahie usaili siunajua unaweza taka usaili ukaenda na ukatoka unasema bora wangeacha ujiandae.Leo mbona hamna mpya... Watu wanahitaji tangz z Usaili..
Huku mitaan watu wanaulizia mkeka wa Mda & lga
Sisomi Ng'oo kama Mbwai na iwe Mbwai.. PSRS leta pepa Hilo nilipakuweMpaka tarehe 14 wewe endelea kujifua ili ufurahie usaili siunajua unaweza taka usaili ukaenda na ukatoka unasema bora wangeacha ujiandae.
Kiongozi soma aiseee jamaa wanawakanda Watu balaaaSisomi Ng'oo kama Mbwai na iwe Mbwai.. PSRS leta pepa Hilo nilipakuwe
😂😂😂😂Soma mkuu watakukanda mpaka ushangaeSisomi Ng'oo kama Mbwai na iwe Mbwai.. PSRS leta pepa Hilo nilipakuwe
Sio wanaofaulu wote wanasoma.. hayo mambo zenu za kukandwa peleka huuuuuuko kwa vilaza😂😂😂😂Soma mkuu watakukanda mpaka ushangae
Hahhhh au sio unataka ukaiotee tu mzee😂😂😂😂Sio wanaofaulu wote wanasoma.. hayo mambo zenu za kukandwa peleka huuuuuuko kwa vilaza
Muache haya mambo ya Utumishi sio ya kuji overconfidence [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Soma mkuu watakukanda mpaka ushangae
😂😂😂😂Kuna kipindi nilikuwa na confidence hatari lakini nilivyokandwa nikaona sasa kumbe nisomeMuache haya mambo ya Utumishi sio ya kuji overconfidence [emoji16]
Tuanze kusema tena watuletee mikando maana placements wamezikalia utafikiri data base imeingia virusesHv wadau hii website ya Utumishi mbona kama imetelekezwa.. Maana Haina mpya lolote
Hahahahaaa.Sisomi Ng'oo kama Mbwai na iwe Mbwai.. PSRS leta pepa Hilo nilipakuwe
😂😂😂😂😂Hahahahaaa.
and vice versa is true...
Wanazingua sana yani duce wamefanya juzi na tayari watu wameitwa kaziniTuanze kusema tena watuletee mikando maana placements wamezikalia utafikiri data base imeingia viruses
Sahili watafanyiiia wapi sasa na J3. udom wanaanza SupplementaryLeo mbona hamna mpya... Watu wanahitaji tangz z Usaili..
Huku mitaan watu wanaulizia mkeka wa Mda & lga
Hukohuko UDOM tutabanana wote na hao wa suppSahili watafanyiiia wapi sasa na J3. udom wanaanza Supplementary
Usaili ni dakika 40 tu....ukijumlisha na mchakato mzima wa ukaguzi na kusiani ni kama masaa 3 tu hivyo wakiwasiliana na watu wa chuo ni ngumu kuingilianaSahili watafanyiiia wapi sasa na J3. udom wanaanza Supplementary
🤣🤣🤣🤣 utawakanda kama ngoma.Sio wanaofaulu wote wanasoma.. hayo mambo zenu za kukandwa peleka huuuuuuko kwa vilaza
Jiandae..Kushapambazuka, Jmosi tulivu pande hizi, mood ya kukandwa inaendelea kumea taratibu kama mmea wa Cucuts jangwani.
PSRS pulizeni hicho kipengaView attachment 2380314
Mkuu, na nilikuwa nahitaji kile kitabu cha board ya uhasibu cha auditing and assurance services kila nikidownload nakwama, vp waweza nisaidia kudownload halafu unip.mKushapambazuka, Jmosi tulivu pande hizi, mood ya kukandwa inaendelea kumea taratibu kama mmea wa Cucuts jangwani.
PSRS pulizeni hicho kipengaView attachment 2380314
Nielekeze website ya kukipata nikidownloadMkuu, na nilikuwa nahitaji kile kitabu cha board ya uhasibu cha auditing and assurance services kila nikidownload nakwama, vp waweza nisaidia kudownload halafu unip.m