Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dah wamweka hivyo
Kuweka update nyingne nadhan zitapita hadi wiki mbili
Hapana, hazipiti wiki mbili, maana kuna ile ya chuo cha ADEM, lazima zitoke kabla ya tarehe 23 mwezi huu, maana chuo wanafungua tarehe 23 hivyo chuo kitakapokuwa kinafungua lazima wafanya kazi wapya wawepo kazini ili wanafunzi wawakute huko
 
Watoe tu tujue moja
 
Lakini naona mwaka huu tu ndo wamezingua lakini last year ilikuwaga week tatu tu placement inatoka
Ni kweli,. Mpaka muda muda mwingine nafikiri ufanisi wa katibu una ulakini,. Maana kuna teuzi ulifanyika, akateuliwa katibu mkuu mwingine pale. Mambo yamekua disorganised kweli kweli.
 
Back
Top Bottom