Mwaisa1202
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 482
- 1,076
Anadhan akionyesha upole ndio hawata mkanda[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kakaa kinyonge sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadhan akionyesha upole ndio hawata mkanda[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kakaa kinyonge sana
Na placement duce
Ngoja tusubiri uenda mambo yakawa mazur wiki hiiHiyo wamechelewa tu kuweka duce waliweka muda tu kwenye web yao
Inshallah kaombe za must wamepost wanataka TA wa information securityNgoja tusubiri uenda mambo yakawa mazur wiki hii
Kule portal?Inshallah kaombe za must wamepost wanataka TA wa information security
Ndio ubaya wa hawa jamaaDah wamweka hivyo
Kuweka update nyingne nadhan zitapita hadi wiki mbili
Kule portal?
Watatoa tu mzee sema hizi za supporting zinachukuaga muda duh labda iwe bahati ila za kufundisha soon wataachia mikekaNdio ubaya wa hawa jamaa
Maana nakumbuka watu wa DART walifnya may au june wameitwa hii juzWatatoa tu mzee sema hizi za supporting zinachukuaga muda duh labda iwe bahati ila za kufundisha soon wataachia mikeka
Lakini naona mwaka huu tu ndo wamezingua lakini last year ilikuwaga week tatu tu placement inatokaMaana nakumbuka watu wa DART walifnya may au june wameitwa hii juz
Hapana, hazipiti wiki mbili, maana kuna ile ya chuo cha ADEM, lazima zitoke kabla ya tarehe 23 mwezi huu, maana chuo wanafungua tarehe 23 hivyo chuo kitakapokuwa kinafungua lazima wafanya kazi wapya wawepo kazini ili wanafunzi wawakute hukoDah wamweka hivyo
Kuweka update nyingne nadhan zitapita hadi wiki mbili
Watoe tu tujue mojaHapana, hazipiti wiki mbili, maana kuna ile ya chuo cha ADEM, lazima zitoke kabla ya tarehe 23 mwezi huu, maana chuo wanafungua tarehe 23 hivyo chuo kitakapokuwa kinafungua lazima wafanya kazi wapya wawepo kazini ili wanafunzi wawakute huko
Kuna interviews nyingi zilifanyika September za vyuoni ila kote kimyaaa. Ni Duce tu wametoaWatoe tu tujue moja
Mbona wametoa mkuu yani must wamefanya 30 Sept na wameshatoa tayariKuna interviews nyingi zilifanyika September za vyuoni ila kote kimyaaa. Ni Duce tu wametoa
Ni kweli,. Mpaka muda muda mwingine nafikiri ufanisi wa katibu una ulakini,. Maana kuna teuzi ulifanyika, akateuliwa katibu mkuu mwingine pale. Mambo yamekua disorganised kweli kweli.Lakini naona mwaka huu tu ndo wamezingua lakini last year ilikuwaga week tatu tu placement inatoka
Nadhani shida imeanzia hapoNi kweli,. Mpaka muda muda mwingine nafikiri ufanisi wa katibu una ulakini,. Maana kuna teuzi ulifanyika, akateuliwa katibu mkuu mwingine pale. Mambo yamekua disorganised kweli kweli.