Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

aiseeh ni shida mkuu
 
Wale tunaosubiria mkeka mwingine wa UDSM na SUA tukutane hapa.. Acheni huu wale Leo au SUA iliyopita Kuna mingine ilitangazwa twaisubiri
Umesoma udsm?if not,nakushauri endelea na mambo yako tu mkuu,udsm kwa positions za academicians huwa hawachukui mtu ambaye sio product yao aisee.hata huu mkeka waliotoa leo nimeucheck karibu wote ni products zao tu.
 
Kwa kweli mkuu,,, vijana tuendelee kutunza Afya zetu ili tuje kula vizuri mema ya nchi.. Tembea na mipira Kila mahali hata ukienda bafuni, Tusikubali kuuza mechi ugenini(pasipoeleweka)
Afya ndo mtaji na ndo future yetu
Acha uzinzi kijana tulia subiri uowe tu,endelea kuomba ajira itakuja
 
We hujielewi,tunazungumzia kitu kingine,unajibu kitu kingine.
Swali langu dogo ni mbona hii interview ya leo walioitwa udsm hujaitwa while ulikua unaisubiri kwa hamu ukawa unaiulizia kila siku humu?
Ndo maana Sina time nawe na hata mawazo yako kwakuwa ni mkurupukaji na hueliwi nini mtu anasema.. Ingelikuwa muelewa nadhan ungekuwa umefahamu ni nafasi zipi au mikeka ipi Nazungumzia.
Be patient kijana, maisha hayahitaji kisirani.
always najua ni kitu gani nafanya na Wala sibabaishwi na mtu.
Over
 
Acha uzinzi kijana tulia subiri uowe tu,endelea kuomba ajira itakuja
Sijasema kuwa Mimi ni mzinzi na Wala vijana wenzangu humu ni wazinzi(Tafadhari mkuu).. Ila nimezungumzia Hali halisi, Nadhani hata wewe mwenye unafahamu changamoto ya ujana kwenye mambo ya mapenzi..
So inajulikana hvyo vitu na haviepukiki kwa vibaya.. So usiniNote vijana.. kama mambo ya zana hata mahospitalini yanazungumziwa na kwenye interventions Mbalimbali ndani ya Wizara ya Afya, Ina maana wao pia wanahamasisha Uzinzi..?
 
Pole kwa kutokuitwa.pale huwa wana culture yao ambayo huwezi kuwabadilisha.
Huko vyuo vingine wanapigishwa written kwanza lakini hawa wenyewe direct wanaanza na oral.nadhani umeona tofauti iliyopo.mwenye kisirani ni wewe unaeita watu mafala kisa wanakuambia ukweli.
Nikutakie kila la heri katika mapambano yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…