Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Ni huzuni sana hasa hapo placement ndio tatizoSina jibu hapo mkuu kwa kweli sijui maybe ndo utaratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huzuni sana hasa hapo placement ndio tatizoSina jibu hapo mkuu kwa kweli sijui maybe ndo utaratibu
aiseeh ni shida mkuuJobless sikua na MB Toka Jumapili nimepata bando now Uzi unakimbia kweli aiseee sema nimesoma page kumi zote Kifupi ni kwamba process ya kutangaza kazi, then shortlist itoke, then placement, then kulipoti ,then usubiri upigiwe simu kupangiwa kituo cha kazi inachukua mda sana wazee afu kitu kingine ambao hamjui mfano siku nimeenda chukua barua barua tarehe yake imetoka mwezi wa nane huko wanakuita kuchukua barua baada wa mwezi na siku kama kumi fikiria wanakuita kuchukua barua tarehe 29 barua imetoka tarehe 12 mwezi wa nane
Nimeziona hongera kwao waliopata kaziKuna placement wameweka ajira portal mkacheki kule
Ngoja nile kwanza ndo nikazifungue sasa😂😂😂😂Nimeziona hongera kwao waliopata kazi
Umesoma udsm?if not,nakushauri endelea na mambo yako tu mkuu,udsm kwa positions za academicians huwa hawachukui mtu ambaye sio product yao aisee.hata huu mkeka waliotoa leo nimeucheck karibu wote ni products zao tu.Wale tunaosubiria mkeka mwingine wa UDSM na SUA tukutane hapa.. Acheni huu wale Leo au SUA iliyopita Kuna mingine ilitangazwa twaisubiri
Wale walofanya june kazi kwaoKuna placement wameweka ajira portal mkacheki kule
Wamewakumbuka sasaWale walofanya june kazi kwao
Ukitoa hizi za leo kuna zilizobaki?Wale walofanya june kazi kwao
Naona vijna wengi Toka kanzi data wamekula shavu.. hii Taasisi ya TARI majina yote yemetolewa kupitia Kanzidata..Ukitoa hizi za leo kuna zilizobaki?
Sisi wa sept sijui tutaitwa lini
Kikubwa uzima tu mkuuNaona vijna wengi Toka kanzi data wamekula shavu.. hii Taasisi ya TARI majina yote yemetolewa kupitia Kanzidata..
Hongereni sana PSRS kwa huu Usawa.
Siku ya kuaappear jina langu inakaribia.
INSHALLAH 🙏🙏
Kwa kweli mkuu,,, vijana tuendelee kutunza Afya zetu ili tuje kula vizuri mema ya nchi.. Tembea na mipira Kila mahali hata ukienda bafuni, Tusikubali kuuza mechi ugenini(pasipoeleweka)Kikubwa uzima tu mkuu
Tuishi humo mzee sema tusisahau kusali wazeeKwa kweli mkuu,,, vijana tuendelee kutunza Afya zetu ili tuje kula vizuri mema ya nchi.. Tembea na mipira Kila mahali hata ulienda bafuni, Tusikbali kuuza mechi ugenini(pasipoeleweka)
Afya ndo mtaji na ndo future yetu
Kweli aisee afya mhimu sana Haina faida ukiwa na Hela then afya iwe shidaKwa kweli mkuu,,, vijana tuendelee kutunza Afya zetu ili tuje kula vizuri mema ya nchi.. Tembea na mipira Kila mahali hata ukienda bafuni, Tusikubali kuuza mechi ugenini(pasipoeleweka)
Afya ndo mtaji na ndo future yetu
Me siamini kwenye tofauti na Mungu. Najua hii dunia Ina mitihani na na majanga mengi sana Ila Allah ananiepusha siku zote.. huu mtihani wa Ujobless ni mdogo sana na Naamini kwa uwezo wa Mungu naelekea kuushinda.Tuishi humo mzee sema tusisahau kusali wazee
Acha uzinzi kijana tulia subiri uowe tu,endelea kuomba ajira itakujaKwa kweli mkuu,,, vijana tuendelee kutunza Afya zetu ili tuje kula vizuri mema ya nchi.. Tembea na mipira Kila mahali hata ukienda bafuni, Tusikubali kuuza mechi ugenini(pasipoeleweka)
Afya ndo mtaji na ndo future yetu
Ndo maana Sina time nawe na hata mawazo yako kwakuwa ni mkurupukaji na hueliwi nini mtu anasema.. Ingelikuwa muelewa nadhan ungekuwa umefahamu ni nafasi zipi au mikeka ipi Nazungumzia.We hujielewi,tunazungumzia kitu kingine,unajibu kitu kingine.
Swali langu dogo ni mbona hii interview ya leo walioitwa udsm hujaitwa while ulikua unaisubiri kwa hamu ukawa unaiulizia kila siku humu?
Sijasema kuwa Mimi ni mzinzi na Wala vijana wenzangu humu ni wazinzi(Tafadhari mkuu).. Ila nimezungumzia Hali halisi, Nadhani hata wewe mwenye unafahamu changamoto ya ujana kwenye mambo ya mapenzi..Acha uzinzi kijana tulia subiri uowe tu,endelea kuomba ajira itakuja
Pole kwa kutokuitwa.pale huwa wana culture yao ambayo huwezi kuwabadilisha.Ndo maana Sina time nawe na hata mawazo yako kwakuwa ni mkurupukaji na hueliwi nini mtu anasema.. Ingelikuwa muelewa nadhan ungekuwa umefahamu ni nafasi zipi au mikeka ipi Nazungumzia.
Be patient kijana, maisha hayahitaji kisirani.
always najua ni kitu gani nafanya na Wala sibabaishwi na mtu.
Over