Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Labda hivyo kuwa ukifanya prac inaonekana selected for oral
Mi ninachoona kuna utofaut wa waliofnya interview 2 na wale wenye interview 3 pamoja na prac labda...weny pract inaonekna selected for oral
 
Status Ilikua inabadilika sana wakuu mara irudi kwenye selected for PRACTICAL mara iende oral ila Mwisho wa siku ikatulia hapo kwenye oral mpka Leo
 
Back
Top Bottom