Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂😂Confidence ilikuepo tu ila majibu yote yauongo maana kukubali Kwamba hiki sijui bora nikudanganye tu utaenda kuchagua mwenyewe mbele kwa mbele
Next time fanya hivi kama hujui kitu sema sijui halafu waambie but I can try to give you what I think could be the answer.......... halafu unatiririka. From there watachagua ipi point ipi pumba.

Kuliko kudanganya moja kwa moja.
 
😂😂😂😂Sawa kiongozi
 
Udhaifu, Maoni na Mapendekezo kwa Tume ya Ajira "PSRS"
 
Suala la application status linataka kuwa kizungumkuti.

Mwaka jana niliomba kazi ya "afisa matunda" kwenye "wizara ya matunda". Zilitangazwa nafasi 2, nilifika oral lakini sikufanikiwa kuitwa kazini.
Application status yangu ilibaki kuwa selected for oral

Mwaka huu kwenye mkeka wa taifa (wenye nafasi 1904), zimetoka nafasi zaidi ya 100 za "afisa matunda" katika wizara ileile (ya matunda), na nimeomba. Application status ya nafasi hii ya mwaka huu, inasoma received (hapa sina shaka kwa sababu bado hawajaita interview).

Kizungumkuti kinakuja pale ambapo status ya nafasi ya afisa matunda (ya mwaka jana) ambayo niliishia oral, ilipobadilishwa kutoka kwenye selected for oral kwenda kwenye SHORTLISTED.

Hiki kitendo ni kidogo sana lakini kinamuwazisha sana jobless huyu anayetaka kuwa afisa matunda.

.... huku nikiweweseka kiwendawazimu....
 
Kwa maana nyingine wanakuconfuse kiasi kwanba unataman kulia 🤣 🤣
 
😂😂😂😂😂Haahhhh unaondoka ukiweweseka kiwendawazimu au sio?
Labda ni kawaida tu status kubadilika badilika
 
Back
Top Bottom