ery mendez
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 298
- 626
duh mbona ni hatar ata haielewekiMuda sana kuanzia siku niliyotoka kwenye oral kesho yake tu ikawa shortlisted mpaka leo
ππππHuko nyie mmeandikiwaje wazee?sielewi elewi hapa au walitukanda wote ile oral hahhhduh mbona ni hatar ata haieleweki
Mi ninachoona kuna utofaut wa waliofnya interview 2 na wale wenye interview 3 pamoja na prac labda...weny pract inaonekna selected for oralduh mbona ni hatar ata haieleweki
Mi ninachoona kuna utofaut wa waliofnya interview 2 na wale wenye interview 3 pamoja na prac labda...weny pract inaonekna selected for oral
Anhaaa kwan meck pro alifanya na prac?Mi ninachoona kuna utofaut wa waliofnya interview 2 na wale wenye interview 3 pamoja na prac labda...weny pract inaonekna selected for oral
Ndio siilikuwa mambo ya IT lazima kuwe na pracAnhaaa kwan meck pro alifanya na prac?
Ndio siilikuwa mambo ya IT lazima kuwe na prac
Okay kwahyo hyo unakua umepata au umeingia kwenye kanzidata?Ndio siilikuwa mambo ya IT lazima kuwe na prac
hapo sasa ndo hatuelewi kiongozi yani vulugu tuππππOkay kwahyo hyo unakua umepata au umeingia kwenye kanzidata?
Upuuzi kwel yan π€£ π€£ π€£ π€£ π€£hapo sasa ndo hatuelewi kiongozi yani vulugu tuππππ
Ukiwa jobless full kuvurugwahapo sasa ndo hatuelewi kiongozi yani vulugu tuππππ
ππππUkiwa jobless full kuvurugwa
ππππ jobless tunateseka sana aseehAhsanteni kwa muongozo Jobless.
Hili nalo litapita
ππππYani utumishi ni vulugu tu ni mwendo wa mateka huelewi umefeli au umepitaNa kuna wale hawan written ni oral tuuu
ππππYani utumishi ni vulugu tu ni mwendo wa mateka huelewi umefeli au umepita
Shortlisted mzeeWew umeandikiwaje