ππππaaah hizi status zinachanganyaJe kama selected ndio umekandwa π€£
Next time fanya hivi kama hujui kitu sema sijui halafu waambie but I can try to give you what I think could be the answer.......... halafu unatiririka. From there watachagua ipi point ipi pumba.ππππConfidence ilikuepo tu ila majibu yote yauongo maana kukubali Kwamba hiki sijui bora nikudanganye tu utaenda kuchagua mwenyewe mbele kwa mbele
Taja taasisi husikaNaombeni kuuliza POSS 1/1 NI MSHAHARA WA SH NGP?
Wewe kwenye status yako hyo post uloitwa kazn ni shortlisted au selected fo oral?K
Kuweni Wapole vijana.
Sisi mwaka jana tulituma maombi yale ya tra mwezi wa 11 tukaja kuitwa written interview mwezi wa 3 mwaka huu,placements zikatoka mwezi wa 4 vituon tukasambazwa mwezi wa 6.
Utumish
ππππSawa kiongoziNext time fanya hivi kama hujui kitu sema sijui halafu waambie but I can try to give you what I think could be the answer.......... halafu unatiririka. From there watachagua ipi point ipi pumba.
Kuliko kudanganya moja kwa moja.
Kwa maana nyingine wanakuconfuse kiasi kwanba unataman kulia π€£ π€£Suala la application status linataka kuwa kizungumkuti.
Mwaka jana niliomba kazi ya "afisa matunda" kwenye "wizara ya matunda". Zilitangazwa nafasi 2, nilifika oral lakini sikufanikiwa kuitwa kazini.
Application status yangu ilibaki kuwa selected for oral
Mwaka huu kwenye mkeka wa taifa (wenye nafasi 1904), zimetoka nafasi zaidi ya 100 za "afisa matunda" katika wizara ileile (ya matunda), na nimeomba. Application status ya nafasi hii ya mwaka huu, inasoma received (hapa sina shaka kwa sababu bado hawajaita interview).
Kizungumkuti kinakuja pale ambapo status ya nafasi ya afisa matunda (ya mwaka jana) ambayo niliishia oral, ilipobadilishwa kutoka kwenye selected for oral kwenda kwenye SHORTLISTED.
Hiki kitendo ni kidogo sana lakini kinamuwazisha sana jobless huyu anayetaka kuwa afisa matunda.
.... huku nikiweweseka kiwendawazimu....
Ukikandwa vitendo hapo unaonekana shake sana aisee ingawa kuteleza kupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh wakikandwa au sio?
πππππHaahhhh unaondoka ukiweweseka kiwendawazimu au sio?Suala la application status linataka kuwa kizungumkuti.
Mwaka jana niliomba kazi ya "afisa matunda" kwenye "wizara ya matunda". Zilitangazwa nafasi 2, nilifika oral lakini sikufanikiwa kuitwa kazini.
Application status yangu ilibaki kuwa selected for oral
Mwaka huu kwenye mkeka wa taifa (wenye nafasi 1904), zimetoka nafasi zaidi ya 100 za "afisa matunda" katika wizara ileile (ya matunda), na nimeomba. Application status ya nafasi hii ya mwaka huu, inasoma received (hapa sina shaka kwa sababu bado hawajaita interview).
Kizungumkuti kinakuja pale ambapo status ya nafasi ya afisa matunda (ya mwaka jana) ambayo niliishia oral, ilipobadilishwa kutoka kwenye selected for oral kwenda kwenye SHORTLISTED.
Hiki kitendo ni kidogo sana lakini kinamuwazisha sana jobless huyu anayetaka kuwa afisa matunda.
.... huku nikiweweseka kiwendawazimu....
ππππhahhhhKwa maana nyingine wanakuconfuse kiasi kwanba unataman kulia π€£ π€£
ππππKweli mzee kukandwa vitendo unaoneka hamna kituUkikandwa vitendo hapo unaonekana shake sana aisee ingawa kuteleza kupo
Tena sio kulia tu, bali kulia kwa sauti, yaani kulia kwa bila kujiabanabanaKwa maana nyingine wanakuconfuse kiasi kwanba unataman kulia π€£ π€£
Tena sio kulia tu, bali kulia kwa sauti, yaani kulia kwa bila kujiabanabana
Tatzo amna mwenye takwimu za kueleweka kuhusu hili swala la status ata walopata kaz pia bado wanachanganywaTena sio kulia tu, bali kulia kwa sauti, yaani kulia kwa bila kujiabanabana
Ikoje?Sema nafikiri hii status ipo hivi kwa wote labda
ππππHii ngoma ya ajira naona ni bahati tu mzeeTatzo amna mwenye takwimu za kueleweka kuhusu hili swala la status ata walopata kaz pia bado wanachanganywa
ShortlistedIkoje?