Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kweli mkuuHawa ndio wakiwa cheo wanaweza jimilikisha madaraka, yaan wapate huku na huku. [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuuHawa ndio wakiwa cheo wanaweza jimilikisha madaraka, yaan wapate huku na huku. [emoji23][emoji23]
Kuna points muhimu sana hapo.. yaan Bora wakiwa wanaita Usaili tena mapema Kam una mistake Fulani utaijua maana wataonesha kwenye my application then kwa nafasi zingine rahisi kurekesbisha Ila kwa Hali hii mtu anajikuta anaomba kazi 10 na Kila ombi Lina Kosa fulani tena la kujirudia
Inakuwaje wakuu ? Naona Leo wamenipa reason ya why sijawa shortlisted kwenye kazi nliyoomba. na hapa nlishaaply sehemu kama tano Hivi huku tayari application zishafungwa now, na zote nimeapply nikiwa nimeweka referees wawili tu (maybe that's a reason why sijawa shortlisted, I was told we gotta have at least three referees). Sasa vipi nikiedit now kwa zile ambazo nshaomba kutakuwa na mabadiliko kweli au ndo ishakula kwangu ? Halafu hao referees Kuna vigezo ambavyo lazima uzingatie ? I mean lazima mmoja awe wa career yako, sijui mwingine awe wa vingine na mwingine vingine pia. Can you guys enlight me please[emoji120]
Acha ufisadiWasubiri sensa iishe jamani mi msimamizi siwezi acha hii pesa jamani nina uhitaji nayo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tena mshushie na tusi mkuu Wala hakuna Jinai hapoAcha ufisadi
AiseeeKwemye portal huwa wanataka uweke copy vyeti vilivyothibitishwa na Wakili/Hakimu. Utatoboaje hapa kama hujacertify ili ukawaoneshe hivyo original huko mbele?
Kazi gani hizo mkuu..?Wengine tulikuwa na oral bila written huko utumishi
Kwa sera ipi Tz inayoruhusu hilo? Sera ni kutangaza watu wachuane.Au ?Kuna time huwa nawaza ukute wameshaitwa watu ma kazin ila sisi atujui
Tatizo watanzania hatupendi kusoma.Matangazo ya kazi au kuitwa kwenye usaili hamsomi ukiona jina unakurupuka kwenda Dodoma.Watu wengi hizo sheria awazijui ,ndo mana wanakuwa wanakosea....tunajifubza kutokana na makosa.
Aiseeee!Wengine tulikuwa na oral bila written huko utumishi
Mkeka umekaa mnoo toka June 18TUENDELEE KUJIFUKIZA
sasa ishavuka siku 60 sawa na miezi miwiliMkeka umekaa mnoo toka June 18
Mkuu vikao mara 4 kwa mwaka unamaana gan??wakuu wa kuidhinisha waliofaulu kupangiwa sehemu za kazi hukaa kikao mara 4 kwa mwaka.
na ndio vikao hivyo huamua majina ya wasakatonge
Acha uongo usio na maana.. Vikao vi4 wanazungumza nn..Yaan suala la kuangalia waliofaulu na kurelease majina ndo wake vikao 4.. Umesikia mkeka wa Ma-DED wa Halmashauri..!!!wakuu wa kuidhinisha waliofaulu kupangiwa sehemu za kazi hukaa kikao mara 4 kwa mwaka.
na ndio vikao hivyo huamua majina ya wasakatonge