Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna points muhimu sana hapo.. yaan Bora wakiwa wanaita Usaili tena mapema Kam una mistake Fulani utaijua maana wataonesha kwenye my application then kwa nafasi zingine rahisi kurekesbisha Ila kwa Hali hii mtu anajikuta anaomba kazi 10 na Kila ombi Lina Kosa fulani tena la kujirudia

Uko sahihi sana Mkuu.
 
Inakuwaje wakuu ? Naona Leo wamenipa reason ya why sijawa shortlisted kwenye kazi nliyoomba. na hapa nlishaaply sehemu kama tano Hivi huku tayari application zishafungwa now, na zote nimeapply nikiwa nimeweka referees wawili tu (maybe that's a reason why sijawa shortlisted, I was told we gotta have at least three referees). Sasa vipi nikiedit now kwa zile ambazo nshaomba kutakuwa na mabadiliko kweli au ndo ishakula kwangu ? Halafu hao referees Kuna vigezo ambavyo lazima uzingatie ? I mean lazima mmoja awe wa career yako, sijui mwingine awe wa vingine na mwingine vingine pia. Can you guys enlight me please[emoji120]

Duh! Hili nilikuwa na wasiwasi nalo wengi litawakuta.
 
Hizi shuhuli za usahili ilikwisha kuwa decentralised long time ago chini ya civil sector reform. Sasa wakaicentralise upya na huo ndio ukiritimba wenyewe. Sijui tutaondokana lini na hii mifumo ya kikomunist/political/tribalistic very sad.
 
wakuu wa kuidhinisha waliofaulu kupangiwa sehemu za kazi hukaa kikao mara 4 kwa mwaka.
na ndio vikao hivyo huamua majina ya wasakatonge
Acha uongo usio na maana.. Vikao vi4 wanazungumza nn..Yaan suala la kuangalia waliofaulu na kurelease majina ndo wake vikao 4.. Umesikia mkeka wa Ma-DED wa Halmashauri..!!!
 
Back
Top Bottom