Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tatizo lipo kwenye referee haukuweka watatu,maybe uadd wafike watatu afu uapload CV upya then uwacall but kama walisha download wanaweza kukuzi

mara nyingi Huwa inakua ivyo..ajarIbu lkn uwez jua
 
mara nyingi Huwa inakua ivyo..ajarIbu lkn uwez jua
Yeah ajaribu tu, ila kama ikatokea wakamuuliza kitu halafu akawadanganya mfano wamuulize kama ameupload recently baada ya shortlists kutoka na akakataa halafu wakacheki kule wakaona kuwa ameupload recently ataloose trust na integrity kwao maana next time anaweza akapata tatizo but wakashindwa kumuamini kama watacheki kwa records na kuona kuwa same user/account or email deceived them before.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukapige hela za jobless wenzetu hahhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya jobless walioomba NAOT wakaanglie names zao
Nimeitwa aisee, ngoja nikakamilishe ratiba ya mwaka huu, mikando non stop.

Hadi sasa PSRS wana clean sheet dhidi yangu halafu huu wa NAOT sina muongozo wowote, itakuwa vituko huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kale kabaridi ka udom utumishi aseeh acha afu ndo ukute pepa ni nzito
Siku ya kwanza kwenda pale nilikuwa natetemeka hatari[emoji3][emoji3][emoji3], nilivaa shati jepesi baridi ikaingia hadi kwenye mifupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…