Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Bado giza mkuu, sijui nisome wapi..

Hii nafasi ni mambo ya ukaguzi.

Sijui nijisomee mambo ya ukaguzi au wadudu[emoji134][emoji134]
🀣🀣 mda wa Mkando vipi mkuu mfano wakikuletea maswali waliyotoa written ulizofanya utaweza kuyajibu au baada ya kutoka kwenye Pepa na maswali uliyaacha hapo hapo anzia hapo kwanza mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mimi huwa nikitoka naanza kujiacess kwanza maswali yote nijue nimejibu sahihi au vipi
🀣🀣 mda wa Mkando vipi mkuu mfano wakikuletea maswali waliyotoa written ulizofanya utaweza kuyajibu au baada ya kutoka kwenye Pepa na maswali uliyaacha hapo hapo anzia hapo kwanza mkuu
 
[emoji1787][emoji1787] mda wa Mkando vipi mkuu mfano wakikuletea maswali waliyotoa written ulizofanya utaweza kuyajibu au baada ya kutoka kwenye Pepa na maswali uliyaacha hapo hapo anzia hapo kwanza mkuu
Hahahhaaaa, maswali mengi niliyoyashindwa niliyafanyia masahihisho mapema.

Ila nasikia huwa hawana tabia ya kurudia maswali
 
Hahahhaaaa, maswali mengi niliyoyashindwa niliyafanyia masahihisho mapema.

Ila nasikia huwa hawana tabia ya kurudia maswali
Huwa hawarudii mkuu nimefanya interview kama tano lakini swali lililojirudia ni moja tu mzee tena kwenye mitihani miwili tu
 
Hahahhaaaa, maswali mengi niliyoyashindwa niliyafanyia masahihisho mapema.

Ila nasikia huwa hawana tabia ya kurudia maswali
Kawaida mie oral nimekutana na maswali mawili yamejirudia la presentation vile vile na advantage ya technology kwenye elimu au kwenye kufundishia so mpka hapo nakua nimebaki na kujieleza education background ambayo najua ni lazima so hapo kwa mahesabu nakua nimepata maswali matatu yote oral so nabaki na maswali mawili moja Toka kwenye nilichopresent ambalo ni asilimia 80 ya kulipata na jingine kuhusu kazi so hata wakiniuliza job description najibu tu so kwa mahesabu nakua nimejibu maswali yote kwa uhakika Sasa hapo no wao wanipe kazi au waninyime kazi 🀣🀣🀣
 
Ila Hali ya unemployment ni mbaya Sana nchi hii ,si kwa nyomi hili aisee , hii serikali priority ingekuwa ni kufanya juu Chini kutoa nafasi nyingi za kazi kila mara kwa namna yoyote ili atleast kupunguza hivi vijiji vya wasakatonge Kule ajira portal tena wengi graduates
This is so pathetic
Nafasi moja au mbili watu 1500+ wtf
 
Unajua interview yakufundisha chuo huwa naona nyepesi sana siwezi kushindwa kudefend kitu nilichokifundisha tofauti na hizi zingine unapigwa swali hujui hata limetoka wapi
 
Unajua interview yakufundisha chuo huwa naona nyepesi sana siwezi kushindwa kudefend kitu nilichokifundisha tofauti na hizi zingine unapigwa swali hujui hata limetoka wapi
Upo sawa kabisa mkuu ya kufundishia ni nyepesi sana kuliko hizi zingine utapigwa maswali mpka ushangae useme jamani na hili swali linaruhusiwa 🀣🀣🀣
 
Yaani kuna post inashindaniwa na watu 5500+ wtf is this .
Li pdf kama volumes za vitabu vikubwa ,page 1200+ unascroll mpaka unachanganyikiwa .
 
Upo sawa kabisa mkuu ya kufundishia ni nyepesi sana kuliko hizi zingine utapigwa maswali mpka ushangae useme jamani na hili swali linaruhusiwa 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kuna swali unapigwa mpaka unajiuliza kwahiyo na hili ilitakiwa nilisome Mimi hahh
 
Walishakupa mkuu, ulikonga nyoyo zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…