HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Je kuna yeyote mwingine imemletea selected for oral kwa amabyo ilikuwa not selected? Usikute nimeokota embe chini ya mnaziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ndio Kuna moja ya mwaka juzi sijui inaniambia selected for aral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…