😂😂😂😂Anatuongezea jobless stressAnashtua ujobless[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Anatuongezea jobless stressAnashtua ujobless[emoji3][emoji3][emoji3]
Unatushtua🤣Nimelimis tu asee
Nimegundua wengi tunangoja hili tangazo,Mungu atufanyie wepesi humu vicheko vitawaleAnashtua ujobless[emoji3][emoji3][emoji3]
Ikawe heri tu aseehNimegundua wengi tunangoja hili tangazo,Mungu atufanyie wepesi humu vicheko vitawale
🤣🤣Wewe unatakiwa uuawe, ukatwekatwe, kisha wakalishwe mamba. Unashtua watu
😂😂😂😂Tushawazoea Hawa utumishi tunaruka nao tuEndeleeni kupiga msuli jobless PSRS Hawana mchezo mtakandwa mpka mshangae wakuu
Bila kutumia ratio hakutawahi kuwa na fair kwenye hizi selected maana zinafanyika kutokana na utashi/maamuzi ya mwenye kuandaa PDF.Dah Ila jamani hawa PSRS inabidi wachange baadhi ya mambo mfano nimeenda kuungalia matokeo ya usaili wa vitendo wa nafasi ya jamaa aliyekutana na multiple choice ya command za Linux Ile ya LABORATORY TECHNICIAN COMPUTER SCIENCE wamechukua watu watatu kwenda oral Wana 95 mtu wa nne ana 94 kaachwa not selected kweli jamani dah aiseee sio fair kabisa
Noma aiseee duh mtu Kama huyo anawaza sana aiseee Kuwa amewakanda PSRS ila ni kama wamemkanda tu 🤣🤣🤣🤣Bila kutumia ratio hakutawahi kuwa na fair kwenye hizi selected maana zinafanyika kutokana na utashi/maamuzi ya mwenye kuandaa PDF.
Yaani mtu akijisikia akataka anapotaka yeye.
Ratio iwe 1 post: 6 candidate lakini pass mark lazima iwe 50.
Endapo watu 3 ndio wamepata 50+ hao hao ndio waitwe oral, kama wengi mkifikisha hiyo marks, basi watu 6 wa juu wachukuliwe
Kweli kabisa,ratio ndio msema kweli.ni kama wanafanya tu ili mradiBila kutumia ratio hakutawahi kuwa na fair kwenye hizi selected maana zinafanyika kutokana na utashi/maamuzi ya mwenye kuandaa PDF.
Yaani mtu akijisikia akataka anapotaka yeye.
Ratio iwe 1 post: 6 candidate lakini pass mark lazima iwe 50.
Endapo watu 3 ndio wamepata 50+ hao hao ndio waitwe oral, kama wengi mkifikisha hiyo marks, basi watu 6 wa juu wachukuliwe
Kwanini unadhani sita wa juu (top six) ndio itakua fair ?Bila kutumia ratio hakutawahi kuwa na fair kwenye hizi selected maana zinafanyika kutokana na utashi/maamuzi ya mwenye kuandaa PDF.
Yaani mtu akijisikia akataka anapotaka yeye.
Ratio iwe 1 post: 6 candidate lakini pass mark lazima iwe 50.
Endapo watu 3 ndio wamepata 50+ hao hao ndio waitwe oral, kama wengi mkifikisha hiyo marks, basi watu 6 wa juu wachukuliwe
Nimeliona hilo aisee IT IS NOT FAIR AT ALL huyo mtu anaetoa maamuz ya cuttingpoint sjui hua anafikria nini ukiangalia mtu anamfuata huyo mwenye 94 yuko mbali ss kw nn wasimchukue na yeye yani utumishi sio poaDah Ila jamani hawa PSRS inabidi wachange baadhi ya mambo mfano nimeenda kuungalia matokeo ya usaili wa vitendo wa nafasi ya jamaa aliyekutana na multiple choice ya command za Linux Ile ya LABORATORY TECHNICIAN COMPUTER SCIENCE wamechukua watu watatu kwenda oral Wana 95 mtu wa nne ana 94 kaachwa not selected kweli jamani dah aiseee sio fair kabisa
Tena huenda alijipa moyo kuwa hii written lazima apige 90+ na kuingia oral ila alichokiona sasa, ndio kumemuacha mdomo waziNoma aiseee duh mtu Kama huyo anawaza sana aiseee Kuwa amewakanda PSRS ila ni kama wamemkanda tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa sababu ya limit ya ratio niliyoipendekeza. Hii haitakuwa na manung'uniko kwa sababu kila mmoja atakuwa anajua huu utaratibu.Kwanini unadhani sita wa juu (top six) ndio itakua fair ?
Why six ?
Unadhani watu hawasomi mzee??sema tu utumishi wanamaajabu yao siku ukiamka vibaya wanakukanda hata kama umesoma mzee kuna mistake pia zakujibu swali sio Kwamba haujui lakini inatokeaga tuTukisema mue mnajiandaa na interviews za Utumishi muelewe hizi sio kama zile nyingine unaongea kuhusu kazi. Huku ukiingia kichwakichwa wanakula kichwa kikatili sana.
View attachment 2393353
Ndio kinschotakiwa Utumishi Soma sana na uwe na bahati.Unadhani watu hawasomi mzee??sema tu utumishi wanamaajabu yao siku ukiamka vibaya wanakukanda hata kama umesoma mzee kuna mistake pia zakujibu swali sio Kwamba haujui lakini inatokeaga tu
Kweli bahati muhimuNdio kinschotakiwa Utumishi Soma sana na uwe na bahati.