Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 554
- 915
Mkuu kusipo kuwa na ratio bado watu watalalamikia wingi wa watu kwenye oral. Ukisema utumie cutt off bila ratio jua kuna paper zinakuwa nyepesi au watu wanafaulu sana (watu zaid ya 100 unakuta wapo above cutt off) swala linakuja hao 100 wote waende oral kugombania nafasi moja?Kwanini unadhani sita wa juu (top six) ndio itakua fair ?
Why six ?
Mapendekezo yangu 1:3 kwa wote walio above 50% written waende oral ( kama nafasi ni 6 basi watu 18 best walio above 50% waende oral hata kama mtu ana 93 na hayupo kwenye 18 best abaki tu)
Tatizo linakuja utumishi hawaelewek kwanini ratio zao hazieleweki.