Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona watu wapo busy na kusoma kwa ajili ya kuwakanda psrs....vipi wadau ADEM bado kimya tu maana kesho ndio wanafungua chuo
Pia sidhani kama ukipata barua tu hapohapo unakabidhiwa darasa si Kuna viprocess vya kureport na Nini..ngoja tuendelee kuwa wapole japo inachoshaa
 
Hawa wamba wote wamepita written patamu hapa.
Screenshot_20221023-180314_Office.jpg
 
Back
Top Bottom