Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Hiyo Oral unatakiwe uwe unakijua kimalkia vizuri na materials yawe vizuri kichwani kwa hilo nyomi ukikosea hata tenses wanakula kichwa.Na mimi nimeona, nimekimbia nije nikomenti kumbe umeniwahi.
Yaani wote waliopata 50 kwenda juu wameitwa oral.
Patamu hapo angalau watu wakaingie kwenye kanzidata