Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hao malegal officer ndo sisi, kesho tuna oral aisee, maombi yenu, hizi nafasi mia Mungu anisaidie tu, maana kuna placements nasubiria mpaka Yesu arudi sijui ndo zitatolewa[emoji23][emoji23]
Halafu hii Legal Officer mtihani ulikuwa mgumu ila uzuri kama ni kada yako unakuwa na idea na unapata cha kuandika, ila ata marks nlizopata nlikuwa sitegemei kwa jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu vile
Mkuu nakutakia kila la kheri
 
Amini mkuu, kati ya hao 100 wanaohitajika na wewe upo.

Just believe.
 
Back
Top Bottom