Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Kila la heri, hivi ni Oktoba 28 si ndio ?Week ya mikando hii.
#MissionNAOT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heri, hivi ni Oktoba 28 si ndio ?Week ya mikando hii.
#MissionNAOT
Mimi kwa sasa napambania kwenda oral, mengine survive for fittest itachukua mkondo[emoji3][emoji3]
Nyie mpo kwenye "mkeka wa taifa" (ule uliokua na nafasi 1904).Na tulioomba mambo ya fisheries ndo tumeshasahaulika!😵💫
Utatoboa kakaAlhamisi ya wiki hii
Dah watu wa IT tumesahaulika 🤭 post zote hizo hamna IT aiseeNyie mpo kwenye "mkeka wa taifa" (ule uliokua na nafasi 1904).
Utumishi hawawezi kuita kada zote kwenye mkeka ule (ni mkubwa mno) kwa wakati mmoja, hivyo wanaita kidogo kidogo.
Hadi sasa kutoka kwenye ule mkeka walioanza kuitwa interview, kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ni kada za sheria.
Wengine ambao mnatakiwa kuendelea kujiandaa na kusubiri kuitwa ni kada za:-
Utalii
Misitu na nyuki
Wanyamapori
Chakula na lishe
Mifugo
Uvuvi
Ujenzi na majenzi
Utunzaji kumbukumbu
Usaidizi wa ofisi
Uhasibu na uchumi
Hesabu na ukaguzi wa ndani
Habari
Ugavi na manunuzi
Takwimu na mipango
Utumishi na utawala
Usafirishaji
Ustawi wa jamii
Maji
Biashara
Mazingira
n.k
Hivyo tuendelee kuwa wavumilivu, wanaita taratibu taratibu kulingana na uwezo wao wa kufanyisha usaili.
(Wanaangusha moja moja)
Tuendelee...... nyama tutazikuta....
Hahahahaha!!kwenye NAOT nafasi ni moja Moja mpaka mbili ,then bonge la nyomi .Week ya mikando hii.
#MissionNAOT
Ukiona hivyo wamestandardizs ili kupata namba inayotakiwaHao malegal officer ndo sisi, kesho tuna oral aisee, maombi yenu, hizi nafasi mia Mungu anisaidie tu, maana kuna placements nasubiria mpaka Yesu arudi sijui ndo zitatolewa[emoji23][emoji23]
Halafu hii Legal Officer mtihani ulikuwa mgumu ila uzuri kama ni kada yako unakuwa na idea na unapata cha kuandika, ila ata marks nlizopata nlikuwa sitegemei kwa jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu vile
Hao malegal officer ndo sisi, kesho tuna oral aisee, maombi yenu, hizi nafasi mia Mungu anisaidie tu, maana kuna placements nasubiria mpaka Yesu arudi sijui ndo zitatolewa[emoji23][emoji23]
Halafu hii Legal Officer mtihani ulikuwa mgumu ila uzuri kama ni kada yako unakuwa na idea na unapata cha kuandika, ila ata marks nlizopata nlikuwa sitegemei kwa jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu vile
Utapata kaka nafasi yako ipo hapoHao malegal officer ndo sisi, kesho tuna oral aisee, maombi yenu, hizi nafasi mia Mungu anisaidie tu, maana kuna placements nasubiria mpaka Yesu arudi sijui ndo zitatolewa[emoji23][emoji23]
Halafu hii Legal Officer mtihani ulikuwa mgumu ila uzuri kama ni kada yako unakuwa na idea na unapata cha kuandika, ila ata marks nlizopata nlikuwa sitegemei kwa jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu vile
Mimi ni dada jaman [emoji23]Utapata kaka nafasi yako ipo hapo
Sorry aisee🤣Mimi ni dada jaman [emoji23]
😂😂😂😂Muwe mnatoa taarifa sasa Prok tunajua huyu ni mjuba tu jina gumuMimi ni dada jaman [emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Muwe mnatoa taarifa sasa Prok tunajua huyu ni mjuba tu jina gumu
Maswali yalikuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tupe maswali yalikuaje kiongozi ,sema kuna wakati inatokea tu zile idea ulizoandika kumbe ndo majibundo maana huwa tunasema usikubali kuacha swali jibu unachoelewa
Sawa mdada hongereni tuishi humoMaswali yalikuwa
Importance of legal research na the way legal research inacontribute vip to development of law, meaning of restitution doctrine, dfc yake na compesation, exceptional zake na five components of the doctrine of restitution to stand kama sikosei, meaning of extra judicial statements, and which circumstances they can be admissible in court, Remedies za malicious prosecution na defences za DPP kama a person akiachiwa halafu akaenda kusue DPP on malicious prosecution
Placement na Utumishi wakae chini wamalize tofauti zao.Hao malegal officer ndo sisi, kesho tuna oral aisee, maombi yenu, hizi nafasi mia Mungu anisaidie tu, maana kuna placements nasubiria mpaka Yesu arudi sijui ndo zitatolewa[emoji23][emoji23]
Halafu hii Legal Officer mtihani ulikuwa mgumu ila uzuri kama ni kada yako unakuwa na idea na unapata cha kuandika, ila ata marks nlizopata nlikuwa sitegemei kwa jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu vile
Amen[emoji41]Placement na Utumishi wakae chini wamalize tofauti zao.
Mungu ni mwema dada utafanikiwa katika hili
🤣🤣🤣Wanalizane tu mambo yawe waziPlacement na Utumishi wakae chini wamalize tofauti zao.
Mungu ni mwema dada utafanikiwa katika hili
🤣🤣🤣 watafute majina malaini sio 🤣😂😂😂😂Muwe mnatoa taarifa sasa Prok tunajua huyu ni mjuba tu jina gumu