Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama kuna legal officer wa kike anaenda kufanya interview kesho na hana makazi anipm, atakaewahi ndo huyo huyo. Hamna malipo jamani it's just an help
Note: mimi ni wa kike kabla hamjanipopoa
😂😂😂😂Wakiume hatufai kupata msaada?
 
Ndo useme inakugomea vipi upate msaada sasa
Nikijisajili inanigomea kucreat passowrd nimetengeneza mara nying ila inanigomea
Screenshot_20221021-193121.jpg
 
Sio kila wakati kwenye nafasi non teaching wanachukua "kila mwenye" above 50.

Kuna wakati wanachukua wenye below 50, kuna wakati wenye "just above" 50 wanaachwa.

Lengo la kwanza la mtihani wa mchujo ni kuchuja. (Yes, just kuchuja, bila kujali sana the so called 50 as a pass mark).

Kuna usaili nimewahi kufanya, wa kuwania nafasi 2, kati ya watu zaidi ya 200, walichukua watu 28 tu kwenda oral. Mwenye marks chache alikua na 68. Kama wangechukua kila mwenye above 50, inawezekana wangechukua watu 70+.
Swali, is it reasonable kuhoji watu 70 kwa ajili ya nafasi 2 tu ?

Zipo nyakati performance ikiwa chini huwa wanachukua hadi waliopata chini ya 50 kwenda oral ili mradi desired number ya wanaotakiwa kwenda oral itakapofikiwa.

Kamfano:
View attachment 2393702
Mkuu unaweza kutuwekea mfano wa watu walioenda oral chini ya 50 mm kama ulivyoweka hii sijawai ona aisee,kisheria iliyowekwa na utumishi ni kuanzia 50
 
Back
Top Bottom