Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sijui mkuueti advertisement za ajira ndio hadi mwaka mwingine wa fedha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mkuueti advertisement za ajira ndio hadi mwaka mwingine wa fedha?
Hazina mwaka wa fedha kaka,kukiwa na uhitaji wanatoa nafasieti advertisement za ajira ndio hadi mwaka mwingine wa fedha?
Unaelewa kweli hata mwaka wa fedha unaanza lini na kuisha lini mkuu?eti advertisement za ajira ndio hadi mwaka mwingine wa fedha?
Nikijisajili inasumbua kwelUnajisajili zen wanakutafutia sehemu ya kuvolunteer au kufanya internship
😂😂😂😂Wakiume hatufai kupata msaada?Kama kuna legal officer wa kike anaenda kufanya interview kesho na hana makazi anipm, atakaewahi ndo huyo huyo. Hamna malipo jamani it's just an help
Note: mimi ni wa kike kabla hamjanipopoa
Inasumbua nini ?Nikijisajili inasumbua kwel
Aaah pole, tyar nshampata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakiume hatufai kupata msaada?
😂😂😂😂Kila la heri kiongozi mkaijaze dunia utumishi hawana maana hawaAaah pole, tyar nshampata[emoji23]
Ndo useme inakugomea vipi upate msaada sasaNan anaweza kucreat account ya taesa mimi kila nikijaribu inanigomea
Nikijisajili inanigomea kucreat passowrd nimetengeneza mara nying ila inanigomeaNdo useme inakugomea vipi upate msaada sasa
hebu subiri tuoneNikijisajili inanigomea kucreat passowrd nimetengeneza mara nying ila inanigomeaView attachment 2393916
Sawahebu subiri tuone
Sawa
Mwanzoni nianze na namba?Password weka namba ,herufi kubwa na special characters kama# au$ & itakubali
NdioMwanzoni nianze na namba?
Nimekuchek inboxNdio
freshNimekuchek inbox
Mkuu unaweza kutuwekea mfano wa watu walioenda oral chini ya 50 mm kama ulivyoweka hii sijawai ona aisee,kisheria iliyowekwa na utumishi ni kuanzia 50Sio kila wakati kwenye nafasi non teaching wanachukua "kila mwenye" above 50.
Kuna wakati wanachukua wenye below 50, kuna wakati wenye "just above" 50 wanaachwa.
Lengo la kwanza la mtihani wa mchujo ni kuchuja. (Yes, just kuchuja, bila kujali sana the so called 50 as a pass mark).
Kuna usaili nimewahi kufanya, wa kuwania nafasi 2, kati ya watu zaidi ya 200, walichukua watu 28 tu kwenda oral. Mwenye marks chache alikua na 68. Kama wangechukua kila mwenye above 50, inawezekana wangechukua watu 70+.
Swali, is it reasonable kuhoji watu 70 kwa ajili ya nafasi 2 tu ?
Zipo nyakati performance ikiwa chini huwa wanachukua hadi waliopata chini ya 50 kwenda oral ili mradi desired number ya wanaotakiwa kwenda oral itakapofikiwa.
Kamfano:
View attachment 2393702
Hakipo hicho kituMkuu unaweza kutuwekea mfano wa watu walioenda oral chini ya 50 mm kama ulivyoweka hii sijawai ona aisee,kisheria iliyowekwa na utumishi ni kuanzia 50