Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini unadhani sita wa juu (top six) ndio itakua fair ?
Why six ?
Mkuu kusipo kuwa na ratio bado watu watalalamikia wingi wa watu kwenye oral. Ukisema utumie cutt off bila ratio jua kuna paper zinakuwa nyepesi au watu wanafaulu sana (watu zaid ya 100 unakuta wapo above cutt off) swala linakuja hao 100 wote waende oral kugombania nafasi moja?

Mapendekezo yangu 1:3 kwa wote walio above 50% written waende oral ( kama nafasi ni 6 basi watu 18 best walio above 50% waende oral hata kama mtu ana 93 na hayupo kwenye 18 best abaki tu)

Tatizo linakuja utumishi hawaelewek kwanini ratio zao hazieleweki.
 
Nime

Nimefanya utafiti usio rasmi, nimegundua hawa jamaa hutumia utaratibu huo huo wa ratio, ratio huwa 1:3 - 1:6 inategemea na taasisi.

Kuzidisha mapambano, maandalizi ya kutosha, kuzingatia masharti kama yanavoelekezwa katika paper. Pia tusisahau ibada, ni muhim ndg. wapambanaji.

Mapambano yaendelee.
 
Amini chamuhimu tusisahau kupiga ibada
 
Tukisema mue mnajiandaa na interviews za Utumishi muelewe hizi sio kama zile nyingine unaongea kuhusu kazi. Huku ukiingia kichwakichwa wanakula kichwa kikatili sana.
View attachment 2393353
Hizi ni za teaching mzee pract za non teaching passmark ni 50 ingekua ni non teacng hao wote wenye 50+ wangeingia oral
 
Unadhani watu hawasomi mzee??sema tu utumishi wanamaajabu yao siku ukiamka vibaya wanakukanda hata kama umesoma mzee kuna mistake pia zakujibu swali sio Kwamba haujui lakini inatokeaga tu
Kwel mzee maana huezi kusema huyo mwenye 94 hakusoma
 
Mkuu kusipo kuwa na ratio bado watu watalalamikia wingi wa watu kwenye oral. Ukisema utumie cutt off bila ratio jua kuna paper zinakuwa nyepesi au watu wanafaulu sana (watu zaid ya 100 unakuta wapo above cutt off) swala linakuja hao 100 wote waende oral kugombania nafasi moja?

Mapendekezo yangu 1:3 kwa wote walio above 50% written waende oral ( kama nafasi ni 6 basi watu 18 best walio above 50% waende oral hata kama mtu ana 93 na hayupo kwenye 18 best abaki tu)

Tatizo linakuja utumishi hawaelewek kwanini ratio zao hazieleweki.
Na hawaeleweki kweli hawa jamaa
 
Nime

Nimefanya utafiti usio rasmi, nimegundua hawa jamaa hutumia utaratibu huo huo wa ratio, ratio huwa 1:3 - 1:6 inategemea na taasisi.

Kuzidisha mapambano, maandalizi ya kutosha, kuzingatia masharti kama yanavoelekezwa katika paper. Pia tusisahau ibada, ni muhim ndg. wapambanaji.

Mapambano yaendelee.
Ibada muhimu sana
 
Hizi ni za teaching mzee pract za non teaching passmark ni 50 ingekua ni non teacng hao wote wenye 50+ wangeingia oral
Sio kila wakati kwenye nafasi non teaching wanachukua "kila mwenye" above 50.

Kuna wakati wanachukua wenye below 50, kuna wakati wenye "just above" 50 wanaachwa.

Lengo la kwanza la mtihani wa mchujo ni kuchuja. (Yes, just kuchuja, bila kujali sana the so called 50 as a pass mark).

Kuna usaili nimewahi kufanya, wa kuwania nafasi 2, kati ya watu zaidi ya 200, walichukua watu 28 tu kwenda oral. Mwenye marks chache alikua na 68. Kama wangechukua kila mwenye above 50, inawezekana wangechukua watu 70+.
Swali, is it reasonable kuhoji watu 70 kwa ajili ya nafasi 2 tu ?

Zipo nyakati performance ikiwa chini huwa wanachukua hadi waliopata chini ya 50 kwenda oral ili mradi desired number ya wanaotakiwa kwenda oral itakapofikiwa.

Kamfano:
Screenshot_20221021-141340_All Document Viewer.jpg
 
Dah Ila jamani hawa PSRS inabidi wachange baadhi ya mambo mfano nimeenda kuungalia matokeo ya usaili wa vitendo wa nafasi ya jamaa aliyekutana na multiple choice ya command za Linux Ile ya LABORATORY TECHNICIAN COMPUTER SCIENCE wamechukua watu watatu kwenda oral Wana 95 mtu wa nne ana 94 kaachwa not selected kweli jamani dah aiseee sio fair kabisa
Itakuwa inagombewa nafasi moja hapo
 
Mkuu kusipo kuwa na ratio bado watu watalalamikia wingi wa watu kwenye oral. Ukisema utumie cutt off bila ratio jua kuna paper zinakuwa nyepesi au watu wanafaulu sana (watu zaid ya 100 unakuta wapo above cutt off) swala linakuja hao 100 wote waende oral kugombania nafasi moja?

Mapendekezo yangu 1:3 kwa wote walio above 50% written waende oral ( kama nafasi ni 6 basi watu 18 best walio above 50% waende oral hata kama mtu ana 93 na hayupo kwenye 18 best abaki tu)

Tatizo linakuja utumishi hawaelewek kwanini ratio zao hazieleweki.
Hii ndo nzuri
 
Umetoa muongozo mzuri mkuu, ratio itapunguza hii sintofahamu ya sasa.

Hata mtu ukiwa na above 50 halafu ratio ikakukataa hauwezi kulalamika kwa sababu utakuwa unajua huo utaratibu
 
Sio kila wakati kwenye nafasi non teaching wanachukua "kila mwenye" above 50.

Kuna wakati wanachukua wenye below 50, kuna wakati wenye "just above" 50 wanaachwa.

Lengo la kwanza la mtihani wa mchujo ni kuchuja. (Yes, just kuchuja, bila kujali sana the so called 50 as a pass mark).

Kuna usaili nimewahi kufanya, wa kuwania nafasi 2, kati ya watu zaidi ya 200, walichukua watu 28 tu kwenda oral. Mwenye marks chache alikua na 68. Kama wangechukua kila mwenye above 50, inawezekana wangechukua watu 70+.
Swali, is it reasonable kuhoji watu 70 kwa ajili ya nafasi 2 tu ?

Zipo nyakati performance ikiwa chini huwa wanachukua hadi waliopata chini ya 50 kwenda oral ili mradi desired number ya wanaotakiwa kwenda oral itakapofikiwa.

Kamfano:
View attachment 2393702
Usemacho ni kweli ila chini 50% sijawahi ona mtu ameenda oral
 
Nime

Nimefanya utafiti usio rasmi, nimegundua hawa jamaa hutumia utaratibu huo huo wa ratio, ratio huwa 1:3 - 1:6 inategemea na taasisi.

Kuzidisha mapambano, maandalizi ya kutosha, kuzingatia masharti kama yanavoelekezwa katika paper. Pia tusisahau ibada, ni muhim ndg. wapambanaji.

Mapambano yaendelee.
Kama ni kweli wanatumia ratio kama ulivyotaja hapa, kuna written niliyowahi kufanya walitumia ratio ya 1:2.5 (posts zilikuwa 4, waliita oral watu 10), sasa sijui hiyo nusu mtu walifikiria nini.

Pia written nyingine walitumia ratio 1:3.6 (posts 5 : 18 candidates).

Hata kama hizi ratio zinategemeana na mwajiri ila bado hazijakaa sawa, haiwezekani pawepo na point(1:2.5, 1:3.6) maana hakuna mtu nusu.

Inabidi ratio(kama wanaitumia kweli) iwe constant(mf 1: 4 au 1:6) na ijulikane kwa umma, halafu conditions zingine kama kupata above 50 au below zitaendelea vile vile
 
Back
Top Bottom