Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Akili itastuck siku ukipata kazi then wanakuambia tutakupigia simu tukupangie kituo hapo ndo vitu vyote unaacha aiseee hunununi hata feni kuhofia utapelekwa kigoma na feni umenunua Jana hizi kazi basi tu kwa kweli
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hahhhhh daaah Yani kila sehemu majanga tu
 
Kunguru wa manzese ndo balaaa lazima atafute demu kwanza anakuambia ndo afanye interview hahahah sijui huko magereza Sasa hivi mafunzo yanaendaje huyo jamaaa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hahhh anakula wafungwa yule ametukimbia hata kuja kutusalimia hataki
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hahhhhh daaah Yani kila sehemu majanga tu
Mie nimekuja kugundua kama process za interview mpaka placement zingeenda kama ivyotakiwa basi process ya kupangiwa kituo cha kazi ndo ndefu Zaid ya zote
 
Mie nimekuja kugundua kama process za interview mpaka placement zingeenda kama ivyotakiwa basi process ya kupangiwa kituo cha kazi ndo ndefu Zaid ya zote
asa kinachochelewesha ni nini yani kwenye kazi?utumishi wanazingua sana mbona walimu hawanaga mzunguko huu
 
Hivi MUCE, IAE na MUHAS placement ni lini?

Na naskia baadhi ya taasisi wanaanza kumpigia simu yule aliepata ajira, je kuna mtu aliepigiwa simu katika taasisi hizo?

Naomba miongozo jamani
Kama taasisi Gani umeskia kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ