Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

"Watakaoajiriwa MDAs & LGAs watatoka kwenye interview iliyofanywa ya NAOT. Hakutokua na interview ya MDAs & LGAs. Zile za TRA usitegemee kuzisikia tena mpaka mwakani watatangaza upya kazi" Nimenukuu kwa mtahiniwa mwenzangu jana
Hiki kitu hakipo mkuu kama nafasi zilitangazwa basi lazima interview muende ukafanye interview muda wowote
 
Umesema kweli aisee
 
"Watakaoajiriwa MDAs & LGAs watatoka kwenye interview iliyofanywa ya NAOT. Hakutokua na interview ya MDAs & LGAs. Zile za TRA usitegemee kuzisikia tena mpaka mwakani watatangaza upya kazi" Nimenukuu kwa mtahiniwa mwenzangu jana
Wee!!usinambie yaan wale walio kwenda kwenye interview ya NAOT.Imani Yao imewaponya, kwenye Mkeka wa MDAsna LGAs wanasikilizia Oral tuu ?
 
Kuna kipindi uzi ulivamiwa na "warusi na wa-ukrain" wa bongo, kile kipindi kikapita, ukavamiwa na "jamaa muuza smart tv 50inch", kile kipindi hakikudumu pia.

Naona sasa uzi uko katika "unyama mwingi sana" Meckpro vs Prok.
Hahahahaaaa.
Hao hawawezi kuuvamia bana, ni wadau muhimu kwenye huu uzi, kuuchangamsha uzi namna hiyo sio mbaya pia
 
"Watakaoajiriwa MDAs & LGAs watatoka kwenye interview iliyofanywa ya NAOT. Hakutokua na interview ya MDAs & LGAs. Zile za TRA usitegemee kuzisikia tena mpaka mwakani watatangaza upya kazi" Nimenukuu kwa mtahiniwa mwenzangu jana
Hakunaga huu mchezo maana Kuna wengine hawakuomba NAOT na waliomba MDAs & LGAs, afu pia huyo mwanafunzi mwenzako anaongea kama nani na anacheo gani pale PSRS..!? mambo mengine sio yakuyabeba kama unavyopewa na watu au haujui kama unaleta tension kwa jobless humu...? rumors ni mbaya sana bora ungekuja na fact, wewe kama uliomba MDAs & LGAs endelea kujiandaa ukapige interview.
 
"Watakaoajiriwa MDAs & LGAs watatoka kwenye interview iliyofanywa ya NAOT. Hakutokua na interview ya MDAs & LGAs. Zile za TRA usitegemee kuzisikia tena mpaka mwakani watatangaza upya kazi" Nimenukuu kwa mtahiniwa mwenzangu jana
Yeye kazipata wapi hizo taarifa?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ukiona tunapiga story zingine tunavuta muda ili kesho wakishaweka placement tuanze kuzijadili na jinsi yakwenda kuchukua barua utumish

Angalau huyu kawa outstanding hapa baada ya kupokea barua.

Wengine wamepotea kabisa wanajipakulia Asali taratibu, hata kuja kutupa moyo hapa hakuna
Mi nikipokea ntakuja hapa kuendelea kuwatia moyo ndugu zangu πŸ˜‚,maana naelewa tunachopitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…