Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂😂😂Yani mtu unakuwa huna amani kabisa na namba ngeni hahhhh
Kabisa Sasa Mimi nilipigiwa mchana hvi nikakuta misdcols 2,nikaja kupiga akapokea jamaa anasema subiri kwanza ntakucheki.hakupiga Tena na mi nikapotezea japo nilikaa kwa tension nasubiri simu yake🤣,baadae nikasema tutapigiwa Hadi na kalynda pdf ndio muamuzi 🤣🤣🤣
 
Nilikuta missed call ya namba ngeni, nikajua labda utumishi, nikapiga mimi kama mara nne haikupokelewa, nikasema hawa Kwa vyovyote ni utumishi tu, nikapiga tena ikapokelewa, kumbe ni mtu Yuko matombo huko alikosea namba😡😡
Dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂Hahhhh Kalyanda watulipe hela zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…