Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

NIMEANGALIA USAILI WA SEPTEMBER 10 MPAKA 12
1.Bugando (BMC)
2.Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), 3.Hospitali ya Kikristo ya kilimanjaro (KCMC),
4.Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH),
5. Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),
6.Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),
7.Bodi ya Usajili wa wakandarasi (ERB), 8.Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI),
8.Baraza la kiswahili la Taifa (BAKITA),
9.Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi
(NACTEVET),
10. Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA) na 11.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
HAO WOTE HAPO WANASUBIRI PLACEMENTS
View attachment 2401273
Tena hapo umeacha nyingine
 
Hahaha, japo ni nje ya mada, yani Mkuu tangu nilipokuja gundua kwamba wewe ni mwanamke, ID za Jf sina hamu nazo kabisa.

Halafu, nilikuwa na pandekezo moja, jobless wakike mkifuatwa na majobless wenzenu, msiwazungushe sana, nyie wenyewe mnaiona hali ya ujobless inavyoleta msongo wa mawazo, hadi kwenye hivyo vitu mlivyopewa bure na Mungu mnatafuta watu wenye kazi!!!?

Inatakiwa jobless akijitambulisha tu kwamba ni jobless, mnamwambia chochote anachotaka atapata.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kumekucha
 
Yes,mimi Bado nipo huku. ila kesho nataka kurejea zangu kwenye mishe zangu .Nimechoshwa nao.
Time frame ya ratiba ilivyokaa ilionesha dhahiri watu inabidi warudi nyumbani kwanza(mikoani).

Ukiitwa oral hiyo tarehe 2, utaanza kujiandaa kwenda kuifanya tarehe 7 au 8, kwa wale ambao hawataitwa hawatakuwa na hasara tena maana watakuwa tayari wapo nyumbani
 
Back
Top Bottom