billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,443
- 1,656
Ushauri mzuri kaka.Time frame ya ratiba ilivyokaa ilionesha dhahiri watu inabidi warudi nyumbani kwanza(mikoani).
Ukiitwa oral hiyo tarehe 2, utaanza kujiandaa kwenda kuifanya tarehe 7 au 8, kwa wale ambao hawataitwa hawatakuwa na hasara tena maana watakuwa tayari wapo nyumbani