Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tena hapo umeacha nyingine
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kumekucha
 
Yes,mimi Bado nipo huku. ila kesho nataka kurejea zangu kwenye mishe zangu .Nimechoshwa nao.
Time frame ya ratiba ilivyokaa ilionesha dhahiri watu inabidi warudi nyumbani kwanza(mikoani).

Ukiitwa oral hiyo tarehe 2, utaanza kujiandaa kwenda kuifanya tarehe 7 au 8, kwa wale ambao hawataitwa hawatakuwa na hasara tena maana watakuwa tayari wapo nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…