Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ushauri mzuri kaka.
 
Kwann ukae siku zote hizo au upo kwa ndugu/jamaa? Maana kukaa gest ni gharama bora urudi kwenu,ukipita usaiki urudi tena tarehe 7 mbali sana
Nipo gest, nilikuwa najua huenda tokeo lingetoka jumamosi au jumapili, then nichague moja kurudi MASKANI kwangu au nibakie.Mimi Siyo mpenzi wa kukaa kwenye mabasi muda mrefu.
 
Hivi wakuu tofauti ya hawa psrs na taesa nini hasa .??

Sent using Jamii Forums mobile app
Taesa wanatoa internship ya mwaka mmoja na malipo ya laki na nusu Kila mwezi ila kama ofisini uliyopangiwa wanahela nao wanaweza kukupa mwaka ukiisha unasepa PSRS Wao asilimia kubwa ni kazi za permanent job and pensionable job ukipata unakula asali na kusubir kusitafu tu mkuu
 
malipo laki na nusu thubutuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…