Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu samahanini naomba nitoke nje ya mada kidogo, naomba kujuzwa baadhi ya short courses zinazotolewa na vyuo mbalimbali hapa D'Salaam!
Elimu yangu ni kidato cha sita nahitaji kutafuta/kuongeza ujuzi, na pia nitahitaji ushauri wenu katika hilo. Asanteni[emoji120]
 
Umesomea masomo gani na ufaulu upoje mzee?ili tukushauri vizuri
 
Kuna watu humu walikuwa na Received zaidi ya 3 Ila naamini baada ya PSRS kuita Usaili Heslb na naot, baadhi ya watu washamaliza Received zao zote.
Haya Kila mtu aje hapa atoe ushuhuda wake,,,, Alikuwa na received ngapi, kahudhuria saili ngapi, kafika Oral mara ngapi, Tamu na chungu ipo wapi kwenye hizi saili, Estimation wa kupata kazi kupitia hizi saili iko wapi.????? AU ndo ulikandwa zote 😂😂
 
Hata wakikosa maisha yataenda tu hata bila PSRS.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…