Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

J3 ya mwisho wa Octoba ndio hiyo ishaingia, je tunaweza kuambulia kapdf cha kufungia mwezi?

Usisite kutembelea web ya PSRS unaweza kujiokotea dodo ndani ya Auditorium room
Nimefuatilia PDF nyingi za PSRS za kuitwa Kazini taasisi mbalimbali za umma zinatoka Siku ya Jumanne
Refer PDF ya 19/07/2022
Ikafuata ya 27/09/2022
Na ya mwisho ilikuwa 11/10/2022 zote zilitoka siku ya Jumanne so hope kesho PDF nyingine inafuata [emoji23][emoji38]
 
Mimi nilikua na received mbili adem nikaitwa nasubiri result kama nimefaulu nikalambe asali,IAE waliniambia not shortlisted sababu bachelor degree requirements haziendani Cha ajabu zilikua zinaendana lakini sikuitwa..kwahyo nategea sehem moja kama Allah kaandikia nikarambe asali
 

Hahaha, Mkuu unaongea mambo yanayoumiza lakini kwa lugha rahisi sana. Hiki ni kipaji Mkuu, usikiache.
 

Hahaha, Mkuu wewe hutaki mambo ya mrija unaenda kabisa kwenye pipa la asali! Nimecheka sana.
 
Hahahahaaa, laiti PSRS wangekuwa hawacheleweshi mambo hizi tafiti/tathmini tusingezipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…