Bob renho
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 165
- 488
Nimefuatilia PDF nyingi za PSRS za kuitwa Kazini taasisi mbalimbali za umma zinatoka Siku ya JumanneJ3 ya mwisho wa Octoba ndio hiyo ishaingia, je tunaweza kuambulia kapdf cha kufungia mwezi?
Usisite kutembelea web ya PSRS unaweza kujiokotea dodo ndani ya Auditorium room
Refer PDF ya 19/07/2022
Ikafuata ya 27/09/2022
Na ya mwisho ilikuwa 11/10/2022 zote zilitoka siku ya Jumanne so hope kesho PDF nyingine inafuata [emoji23][emoji38]