Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili suala la taasisi kuipigia PSRS ni la ukweli kbsa
Tunaposema kuna wahuni wanataka kuhujumu makusudi mfumo wa PSRS ili kufanya yao ,watu waelewe .
Hii ni hujuma ,na sijui hata hao TISS wamewekwa mfukoni au vipi ? ,Nashindwa kuelewa ,maana pale PSRS wapo maafisa vipenyo kibao .
Sasa inakuwaje hujuma kama hizi zinafumbiwa macho ?
 
Dah noma sana inaonekana PSRS ni mwiba sana kwa watoto wa vigogo
 
Dah noma sana inaonekana PSRS ni mwiba sana kwa watoto wa vigogo
 
Dah noma sana inaonekana PSRS ni mwiba sana kwa watoto wa vigogo
Hawa vigogo nashindwa kuelewa shida iko wap?, aslimia kubwa wanapeleka watoto wao shule zenye hadhi ya juu na wengine kusomea nje kabisa,sasa wanashindwaje kupambana na watoto wa wakulima ambao wamesomea tena kwenye shule za hadhi ya chini kabisa yani shule za kata, mpaka wapewe mbeleko kiasi hicho kama walivyo fanya NSSF na taasisi nyingine zenye mlengo huo, nimeamini psrs ni watenda haki na wapewe maua yao.
 
Dah hii nchi ngumu sana
 
Watu walishasemaga humu ndani kuwa kuna haki inatendeka karibia 90% haki inatendeka , watu wakaitwa mawakala, haya leo hii mnajionea hali huko kwenye taasisi na mashirika watu wanaambiwa watoe mpaka mil 5 na rushwa ya ngono juu ili wapate kazi, vigogo na mawziri wenu nao wamo, bado najiuliza swali ilikuwaje TRA wakimbilie kufanya recruitment chini yao ili hali kuna vijana wengi sana waliingia data base mwezi Februari mwaka huu, kwa nini wasingewapa nafasi hizo hao vijana ili wao wakaanza mchakato wa kuajiri wenyewe kwa wakati mwingine.
 
Mkuu urasimu ni mwingi ni ngumu sana TRA kuchukua vijana wa dtabase wa psrs ilihali hao psrs wenyewe hawaitaki na kuipiga vita
 
Hii nchi ukifikilia sanaa unaweza kusema mimi ni mwamiaji nimekuja na ninaondoka tz.....
 
Jinga sana haya majitu , yanajipakulia minyama tu .
Yaani inatia hasira na kichefuchefu sana hii mijitu.
Bila psrs mazee hatutoboi ,labda uwe na mtu wa kukuvutia waya kwenye system .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…