Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Tunaposema kuna wahuni wanataka kuhujumu makusudi mfumo wa PSRS ili kufanya yao ,watu waelewe .Hili suala la taasisi kuipigia PSRS ni la ukweli kbsa
Hii ni hujuma ,na sijui hata hao TISS wamewekwa mfukoni au vipi ? ,Nashindwa kuelewa ,maana pale PSRS wapo maafisa vipenyo kibao .
Sasa inakuwaje hujuma kama hizi zinafumbiwa macho ?