captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Ata kuchakata pia zile call for interview napo wanachukua Mda, ila walishaanza kufanyia mchakato hayo mapungufu mfano saiv saili za written zinafanyika kikanda........Changamoto iliyopo psrs ni kuchelewa kutoa placement tofauti na hapo hawa jamaa wako vizuri sana.
Wako fair kwa asilimia 99.9%
Psrs wako vizuri wanatenda haki kwa 90%M naona PSRS wapewe muda kwa kuwa naona baadhi ya changamoto wanazitatua ndo mwanzo huo. Nina Iman kubwa sana na PSRS.
Mungu awasimamie/kuwainua zaidi kwenye mapito hayo.....M naona PSRS wapewe muda kwa kuwa naona baadhi ya changamoto wanazitatua ndo mwanzo huo. Nina Iman kubwa sana na PSRS.
Pale kuna mtu alikuwa anakwamisha mambo ya placement kwa malengo ya PSRS kuonekana haifanyi kazi kwa Weredi......Psrs wako vizuri wanatenda haki kwa 90%
Shida iliyopo psrs wamelemewa inabidi waongezewe nguvu kazi kufanyia mchakato wa ajira taasisi zote nchi hii sio mchezo imagine taasisi kama tra wao wenyewe wamekaa miezi 3 psrs mwenye nchi nzima itakuaje .
Mi nina kazi tayari ila tunaomba serikali rudisheni michakato ya ajira psrs
Mbon ss mambo yale yale tuu wiki sasa hakuna placement mkuuPale kuna mtu alikuwa anakwamisha mambo ya placement kwa malengo ya PSRS kuonekana haifanyi kazi kwa Weredi......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maji yameshamwagika unategemea nn(ilifika kwa mama)....Mbon ss mambo yale yale tuu wiki sasa hakuna placement mkuu
Kabisa 100%Psrs wako vizuri wanatenda haki kwa 90%
Shida iliyopo psrs wamelemewa inabidi waongezewe nguvu kazi kufanyia mchakato wa ajira taasisi zote nchi hii sio mchezo imagine taasisi kama tra wao wenyewe wamekaa miezi 3 psrs mwenye nchi nzima itakuaje .
Mi nina kazi tayari ila tunaomba serikali rudisheni michakato ya ajira psrs
✅✅✅.......Changamoto iliyopo psrs ni kuchelewa kutoa placement tofauti na hapo hawa jamaa wako vizuri sana.
Wako fair kwa asilimia 99.9%
Tuzidishe maombi ndani ya Utumishi....Mungu atatendaMbon ss mambo yale yale tuu wiki sasa hakuna placement mkuu
Hii inahusiana vipi na Placement mzee?Tuzidishe maombi ndani ya Utumishi....Mungu atatenda
Kunamabadiliko yanaenda kufanyika mkuuView attachment 2759350
Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia kipengele cha 4 ...reformHii inahusiana vipi na Placement mzee?
Okay..,nilijua kuna mtu kateuliwa.
Wataongezewa nguvu lini sasa, saizi taasisi na mashirika tayari yana board maana so yanaanza kauajiri yenyewe yaani saiz Psrs hawana kazi, ajiea chache za halimashauri watenadji wa vijiji na nafasi zingine chache ndo wataendesha zingine zote zimerudishwa vyuo vyote, mashrika yote, taasisi zote zimepewa mamlaka kamili kuajiri.In short habari ndo imeisha mpaka marekebisho mfsno mzuri ni NSSF, na TRA watoto wa wakulima Mteegemeeni Mungu bila hivyo kutoboa ni ngumuPsrs wako vizuri wanatenda haki kwa 90%
Shida iliyopo psrs wamelemewa inabidi waongezewe nguvu kazi kufanyia mchakato wa ajira taasisi zote nchi hii sio mchezo imagine taasisi kama tra wao wenyewe wamekaa miezi 3 psrs mwenye nchi nzima itakuaje .
Mi nina kazi tayari ila tunaomba serikali rudisheni michakato ya ajira psrs
Ttzo nchi yetu kuleana kwingi hao vigog ni wa kupiga chiniiKumbe Mashirika ya Umma yalikuwa na mpango wa kujiondoa PSRSView attachment 2759419
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hii ni kweli kabisa, kuna jamaa yangu mmoja ni mhanga wa kuhamishwa alikuwa katika taasisi moja nono sana ila alipoteuliwa mkurugenzi mpya katika taasisi hiyo alianza kupangua watumishi na wengine kupelekwa halmashauriKumbe Mashirika ya Umma yalikuwa na mpango wa kujiondoa PSRSView attachment 2759419
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Nchi ngumu sanaaa....Ttzo nchi yetu kuleana kwingi hao vigog ni wa kupiga chinii
Naona kuna call for interview huko mlokuwa na received mkachek huko.Nchi ngumu sanaaa....
Jamaa atie msumali wa nguvu hapohapo wote watarudi utumishi kuhofia kupigwa chini ....
Wanatisa mama(Rais)
Sent using Jamii Forums mobile app