Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
Asante sana mwamba, usahili nimefanya mwezi 5/2023 na nimechomokea database, ko wadau msikate tamaa database inafanyakazi.Hongera sana ndugu kwa kulamba asali , umefanya usahili lini ? Au wamekuchomoa Data base ?
Asante mkuuuHongera sana
Kusbr miez kalbia 10 cyo mchezo...Asante mkuuu
Asante sana mwamba, nilipiga mwez 5 na status ni selected for null kwenye app na shortilisted kwenye web.Nimefurahi sana kijana, moja ya wadau wa huu uzi umelamba asalii. hongera sana afsa vp ulipiga oral lini , na vp status kwa app?
Asante sana mwamba!Mk
Mkuu..! Hongera sana asee, hakikia kweli Mungu ni mwema wakati wote, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
Asante sana mwamba!Hongera kaka karibu utumishi wa uma
We umekaa database Zaidi ya mwaka sasa hongera SanaAsante sana mwamba, nilipiga mwez 5 na status ni selected for null kwenye app na shortilisted kwenye web.
Hongera sana mwamba!!Hatamaeee nimeingia kwenye asali mbichi ya baharii toka mwaka jana mwezi wa 11 leoo 28.9.2023
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kaziHatamaeee nimeingia kwenye asali mbichi ya baharii toka mwaka jana mwezi wa 11 leoo 28.9.2023
Kama nimemuelewa anasema Alfanya mwez wa 5/2023 it means hajakaa mwaka database...ni almost miez 4 tu kalamba asaliWe umekaa database Zaidi ya mwaka sasa hongera Sana
We umekaa database Zaidi ya mwaka sasa hongera Sana
Yaa uko sahihi kabsa!Kama nimemuelewa anasema Alfanya mwez wa 5/2023 it means hajakaa mwaka database...ni almost miez 4 tu kalamba asali
Oh nkajua kafanya 2022Kama nimemuelewa anasema Alfanya mwez wa 5/2023 it means hajakaa mwaka database...ni almost miez 4 tu kalamba asali
Hizi issue za status hazielewek... kulkuwa na mjadala mkali sana apa na wengne Hadi kusema selected for null maan ake mtu alikandwa[emoji1][emoji1]Asante sana mwamba, nilipiga mwez 5 na status ni selected for null kwenye app na shortilisted kwenye web.
Hongera sana mwamba!!Tuwaamini sana utumishi ,hatimaye nimelamba asali kutoka database
mkuu hongera sana ukawe mtumishi mwema . hv umebadili avatar?Tuwaamini sana utumishi ,hatimaye nimelamba asali kutoka database
Mungu asikie kilio chako mkuuman kila niki scrow pdf nakutana na neno assistant vs assistant.
lakini nachomuomba MUNGU aliye juu. afanye wepesi nipate ajira utawala huu wa mama samia.
watakuja pimbi wengine , vijana tutaishia kuishi kwa ndugu,mashemeji nk full manyanyaso kama zamani.
Hongera sana mkuuHatamaeee nimeingia kwenye asali mbichi ya baharii toka mwaka jana mwezi wa 11 leoo 28.9.2023
Watu wanasubiri hadi wanachoka duuuh hawa jamaa sio poaKusbr miez kalbia 10 cyo mchezo...
Uvumilv ndo Kila ktu
daah sio poah wengi wakongwe + wageni wa huu uzi wamepata kazi.Mungu asikie kilio chako mkuu