Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
Asante sana mwamba, usahili nimefanya mwezi 5/2023 na nimechomokea database, ko wadau msikate tamaa database inafanyakazi.Hongera sana ndugu kwa kulamba asali , umefanya usahili lini ? Au wamekuchomoa Data base ?