Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Be patient mkuu huwezi kukusanya assets na juzi ulikuwa Graduate yani unataka kuwa tajiri in your 30s [emoji23]Haya niambie unalipwa 520k no posho no perdiem hizo accumulation za assets utazitolea wapi kama si mwizi.
Una familia pia inakutegemea
Haya niambie unalipwa 520k no posho no perdiem hizo accumulation za assets utazitolea wapi kama si mwizi.Unajua watu wengi mnapima mafanikio kwa mahali mtu alipo na sio vile anavyomiliki. Muhasibu wa halmashauri ya tunduma anaweza kukusanya hela nyingi kuliko huyo engineer wa TCRA na kwa sababu sehemu kama tunduma maisha yako chini maana yake huyu wa halmashauri anaweza kumiliki properties na assets nyingi kuliko mtu wa TCRA.
Huwa tuna joke kuhusu TGS lakini ukifuatilia mtu wa TCRA anaeishi kinondoni, makongo ama goba ana waste hela nyingi wakati huyu wa tunduma ana accumulate hela nyingi.
Ndio maana ukienda halmashauri kama hizo unakuta kila mtu anamiliki mijengo na ardhi za kutosha ila wewe wa TCRA unamiliki SUBARU forester , iphone 12 na Demu mkali.
Case closed 😅😅Be patient mkuu huwezi kukusanya assets na juzi ulikuwa Graduate yani unataka kuwa tajiri in your 30s [emoji23]
Mkuu elewa tu sio poaMkuu nikuulize unafanya kazi halmashauri au unapokea Hiyo TGS ? kwa muda gani?
Kuna vijana wa Mataasisi makubwa maisha yao magumu sana wanashinda masaki kula pizza lakini wanapiga mizinga balaa, wanapenda kuonekana Rich muda wote.
Halafu kuna wafanyakazi halmashauri ya masasi wanalima ufuta usipime, msimu wa korosho wanajaa mifuko asikwambie mtu I am talking from experience.
Ndo maana nakwambia patience ni kila kitu.
Exactly wanamaisha magumu kweliNdugu zangu wengi wanaosaidia familia ni watu wa TGS iwe misiba, harusi, ada n.k hao watu wa mascale ya juu muda wote wanasema hawana hela Ukiomba wanakwambia Dar maisha magumu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4][emoji4]... kama kuna ukweli hapa sijajua lakini...Unajua watu wengi mnapima maendeleo kwa mahali mtu alipo na sio vile anavyomiliki. Muhasibu wa halmashauri ya tunduma anaweza kukusanya hela nyingi kuliko huyo engineer wa TCRA na kwa sababu sehemu kama tunduma maisha yako chini maana yake huyu wa halmashauri anaweza kumiliki properties na assets nyingi kuliko mtu wa TCRA.
Huwa tuna joke kuhusu TGS lakini ukifuatilia mtu wa TCRA anaeishi kinondoni, makongo ama goba ana waste hela nyingi wakati huyu wa tunduma ana accumulate hela nyingi.
Ndio maana ukienda halmashauri kama hizo unakuta kila mtu anamiliki mijengo na ardhi za kutosha ila wewe wa TCRA unamiliki SUBARU forester , iphone 12 na Demu mkali.
Exactly wanamaisha magumu kweli
Hebu cheki makadirio haya
Nyumba kodi 500k+
Mafuta kila siku 15000+
Chakula daily 15000+
---------------------------------------
Total 1,400,000
Achana na matumizi mengine yoote.
Niambie halmashuri gani huko ndani ndani mnakosema kuna matumizi ya kufikia nusu ya hayo hapo juu.
Halmashauri ya tunduma watu wanatembea kwa miguu kwenda ofisini kutoka kwenye nyumba ambayo kodi yale ni 100,000 kwa mwezi ambayo kwa nje imepandwa mboga mboga[emoji23]
Jamaa akareport tu ,apige kazi , kama hataki aje kwa kanjibai huku abadilishane na mimi ,aonje jehanamu ya moto wa kanjibai na mchina !Upo sahihi mkuu! Lakini hii haitakiwi kumkatisha tamaa mtumishi bali iwe chachu ya kuumiza kichwa na kuona namna nzuri ya kujituma kwa nafasi yake ili kuleta matokeo chanya. Na vilevile kutumia fursa zilizokuzunguka...usipende kukaa bure tuu kwa sababu serikali itakulipa mshahara hata kama hauufanyii kazi kivile.
Work hard, work hard.. be self motivated....
Watu wa Community Development hawatausahau huu mwakaKuna pdf huko mkacheki
Kumbe, nilikuwa nawachukilia poa SHUWASAInategemea ni mamlaka ya mkoa gani na ni urban au rural ila kwenye maji uko kuna pesa nyingi sana
Umesahau na kumiliki Title, me nipo TCRAUnajua watu wengi mnapima maendeleo kwa mahali mtu alipo na sio vile anavyomiliki. Muhasibu wa halmashauri ya tunduma anaweza kukusanya hela nyingi kuliko huyo engineer wa TCRA na kwa sababu sehemu kama tunduma maisha yako chini maana yake huyu wa halmashauri anaweza kumiliki properties na assets nyingi kuliko mtu wa TCRA.
Huwa tuna joke kuhusu TGS lakini ukifuatilia mtu wa TCRA anaeishi kinondoni, makongo ama goba ana waste hela nyingi wakati huyu wa tunduma ana accumulate hela nyingi.
Ndio maana ukienda halmashauri kama hizo unakuta kila mtu anamiliki mijengo na ardhi za kutosha ila wewe wa TCRA unamiliki SUBARU forester , iphone 12 na Demu mkali.
Naona ni zamu ya CDO kulambishwa asali tuMkeka huo
Yes naona haifungukiHalafu mbona app ya Ajira portal haifunguki tokea jana ?
Kila nikilogin inagoma , vipi kuna aliye experience tatizo hili ?
Tuishi humu humu mkuu.Mwifwa Mungu akubariki sana kaka.... Ushalamba asali... lakini huwachi walio nyuma yako kuwapa ABC Mkuu Mungu akubariki sana asee
Huko TCRA computer engineer II shahara ngapi?Umesahau na kumiliki Title, me nipo TCRA