Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Sasa imebaki subira, uvumilivu na maombi. Tuishi humoNdio kaka, nimeanza panel 1 nkaunganisha na ya 2.
Amina Sana mkuuBado wengi sana. Usikate tamaa volk, laiti Mungu angekuwa anatoa riziki kwa watu wote duniani kwa wakati mmoja maisha yangekuwa ya hovyo sana, badala yake aliamua kutoa kwa zamu. Zamu yako inakuja mkuu.
Tutorial assistant hawanaga database.Dah sawadogo kachomoka ivi wakuu hizi kazi za tutorial assistant Huwa hazina database dah!! Watuchomoe na sisi aseee
Hivi kumbe kama haupo database baada ya Oral interview status inabadilika. Mwenye uhakika tafadhali naomba anisaidie.Tutorial assistant hawanaga database.
Hongera sana kwakeDatabase inafanya kazi wote tutafikiwa, jamaa yangu huyu kachomoka leo kupitia Database View attachment 2772133
Selected for oral is real [emoji123]
Asante mkuu,kivumbi ndo leoKila la kheri kwa maandalizi hayo.
Mungu akawe upande wako!
Nina imani "imeenda hiyo"Asante mkuu,kivumbi ndo leo
Tuko ukumbini ndo tunajisajil,then tupate tea na mtanange uanze
Mungu ni mwema[emoji120][emoji120]
Position gani?MREJESHO
Usaili wa kwanza utumishi
Nimepenya written
Nimeshafanya oral
Kweli jamii forum ni kisima Cha maarifa
Tafuta kadeti zako original 3, shati cotton 3, viatu moka pea 2 ngozi na SAA 1. Usiingie ofisini kizembe. Visuruali vya kitambaa vya mtumba tupa kule.wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Yaani unamaanisha atumie zaidi ya laki tano kujiimarisha kimwonekano daah[emoji1]Tafuta kadeti zako original 3, shati cotton 3, viatu moka pea 2 ngozi na SAA 1. Usiingie ofisini kizembe. Visuruali vya kitambaa vya mtumba tupa kule.
MREJESHO
Usaili wa kwanza utumishi
Nimepenya written
Nimeshafanya oral
Kweli jamii forum ni kisima Cha maarifa
Dah me mwenyewe Leo nimepokea mkando hatari, nilifanya written juzi jumatatu kwa kazi 2 tofauti i.e EXAMINATION OFFICER na REGISTRATION OFFICER zote NECTA kila moja ikiwa na nafasi 2. Matokeo yametoka Jana nkipenya zote na kuingia oral.
Ahsante mkuuMfwende sawa dogo hongera na karibu sana kwenye utumishi wa uma , tunasema safari moja huanzisha nyingine Mungu daima ni mwema sana kwa watu wake, hakuna anayemtumainia akamwacha bila baraka zake, hio ni ahadi yake amesema hivyo katika Neno lake. Hivyo inapaswa ukamshukuru kwa Neema zake hizo.
Nanyi ndugu zangu mnaosubilia placement Mungu aendelee kuwasimamia akawape hitaji za moyo wenu, msikate tamaa Mungu ni mwaminifu sana wa ahadi zake, kukata tamaa ni dhambi ya kumfanya Mungu hawezi.
Kwa wale mnaoitwa kwenye saili msisite kwenda kufanya hata kama nafasi ni 1, kama una rasilimali fedha kimbia kafanye usione ni gharama kwa sababu kama hutopata kazi itakusaidia kupata uzoefu wa saili nyingine, kwangu mimi mwakajana kuna usaili wa nafasi 1 ya Internal audit officer ASA nilienda kufanya usaili wake ingawa sikuingia hata oral lakini maswali yake yalikuja kutoka tena kwenye oral ya Internal audit officer ya MDA&LGA ambayo niliyajibu vizuri kwa kuwa tayari nilikuwa nimeshajiandaa nayo, hivyo kunisaidia kufaulu na kupata placement .
KUKATA TAMAA NI MWIKO, MTANGULIZE MUNGU DAIMA NAYE ATAKUKUMBUKA .
T. A mkuuPosition gani?
sawa mkuu,Tafuta kadeti zako original 3, shati cotton 3, viatu moka pea 2 ngozi na SAA 1. Usiingie ofisini kizembe. Visuruali vya kitambaa vya mtumba tupa kule.
wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Wewe ni mtu na nusu, ubarikiwe sana ndugu yangu.Hongera sana Champion,👊
Hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kabisa, lilikuwa ni suala la muda tu wewe kupata kazi. Juhudi zako, Uvumilivu, busara na hekima ndio vimekufikisha hapo.
Nakutakia uwe na mafanikio katika majukumu yako mapya, ipende kazi yako na kuiheshimu hakika nayo itakuheshimisha. Pia katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma.
Mwisho, furahia ushindi huo pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa rahisi kufika hapo na pia kumbuka kutoa shukrani kwa jamii hasa makundi yenye mahitaji maalumu kama vile watoto yatima, wenye ulemavu na wazee, hii itakusaida kufungua milango mingine ya mafanikio kwako.