Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nasemaje nasema hivi; huu uzi umebarikiwa.... Ukichangia na kuwatakia pongezi wenzako iko siku na ww utafikiwa.

Marufuku kukata tamaa.

Ipo siku nami nitaleta mkasa wangu na idadi ya kazi nyingi sana za priivate nlizokosa pamoja na dharau nliyooneshewa mtaani hadi katika utafutaji ajira.

Psrs kwangu ilikuwa kama miujiza, wazee mambo yanawezekana kikukubwa kila hatua mshirikishe Mungu, jicho lipo na linaathiri.

Subiri nijiaandae kwenda job sasa ila mkasa wangu ups and downs nitauleta hapa as soon as possible.
 
Mfwende sawa dogo hongera na karibu sana kwenye utumishi wa uma , tunasema safari moja huanzisha nyingine Mungu daima ni mwema sana kwa watu wake, hakuna anayemtumainia akamwacha bila baraka zake, hio ni ahadi yake amesema hivyo katika Neno lake. Hivyo inapaswa ukamshukuru kwa Neema zake hizo.
Nanyi ndugu zangu mnaosubilia placement Mungu aendelee kuwasimamia akawape hitaji za moyo wenu, msikate tamaa Mungu ni mwaminifu sana wa ahadi zake, kukata tamaa ni dhambi ya kumfanya Mungu hawezi.
Kwa wale mnaoitwa kwenye saili msisite kwenda kufanya hata kama nafasi ni 1, kama una rasilimali fedha kimbia kafanye usione ni gharama kwa sababu kama hutopata kazi itakusaidia kupata uzoefu wa saili nyingine, kwangu mimi mwakajana kuna usaili wa nafasi 1 ya Internal audit officer ASA nilienda kufanya usaili wake ingawa sikuingia hata oral lakini maswali yake yalikuja kutoka tena kwenye oral ya Internal audit officer ya MDA&LGA ambayo niliyajibu vizuri kwa kuwa tayari nilikuwa nimeshajiandaa nayo, hivyo kunisaidia kufaulu na kupata placement .

KUKATA TAMAA NI MWIKO, MTANGULIZE MUNGU DAIMA NAYE ATAKUKUMBUKA .
 
Ahsante mkuu
 
wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo

Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs

Hongera sana Champion,👊

Hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kabisa, lilikuwa ni suala la muda tu wewe kupata kazi. Juhudi zako, Uvumilivu, busara na hekima ndio vimekufikisha hapo.

Nakutakia uwe na mafanikio katika majukumu yako mapya, ipende kazi yako na kuiheshimu hakika nayo itakuheshimisha. Pia katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma.

Mwisho, furahia ushindi huo pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa rahisi kufika hapo na pia kumbuka kutoa shukrani kwa jamii hasa makundi yenye mahitaji maalumu kama vile watoto yatima, wenye ulemavu na wazee, hii itakusaida kufungua milango mingine ya mafanikio kwako.
 
Wewe ni mtu na nusu, ubarikiwe sana ndugu yangu.
nitazingatia kwa weledi mkubwa
 
Back
Top Bottom