Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Nasemaje nasema hivi; huu uzi umebarikiwa.... Ukichangia na kuwatakia pongezi wenzako iko siku na ww utafikiwa.
Marufuku kukata tamaa.
Ipo siku nami nitaleta mkasa wangu na idadi ya kazi nyingi sana za priivate nlizokosa pamoja na dharau nliyooneshewa mtaani hadi katika utafutaji ajira.
Psrs kwangu ilikuwa kama miujiza, wazee mambo yanawezekana kikukubwa kila hatua mshirikishe Mungu, jicho lipo na linaathiri.
Subiri nijiaandae kwenda job sasa ila mkasa wangu ups and downs nitauleta hapa as soon as possible.