Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana mkuu karibu utumishi wa uma
 
Hongera sana mkuu, hu uzi kila mtu atapata kazi kwa muda wakee.
 
Ile feeling asikwambie mtu lazima u freeze kwanza kidogo😅 aisee hongera sana nakutakia utumishi mwema katika majukumu yako
 
Mkando wangu wa kwanza nilipitia hii scenario na nikandwa haswa.

Ila mapambano yaliendelea maana ndio ilikuwa experience ya kufukia mashimo yaliyojitokeza.

Najua hali hii inawakuta watu wengi lakini isiwe ni sababu ya kugive up bali ndio iwe chachu ya kupambana zaidi
 
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.

Hizi shuhuda huwa zinatia nguvu kwa wote wanaoendelea kupambana
 
Hongera sanaa Kiongozi....Ukawe Mtumishi mwema sanaa
 
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi, Kila la kheri mkuu.
 
Hongera sana, kila la kheri katika utumishi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…