Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wana Tupeane Michongo... incase kama ulikuwa na mchongo na umepata placement... niunganishe niwe kama replacement mtaani vumbii.... maana naona pdf zinakuja empty tu

Am openly anywhere..
Kweli kaka umeongea jambo la muhimu.
Washkaji naombeni madili wale mnaoingia serekali tupeni nafasi huko viwandani kwa wahindi.
 
28.11.2022 nilifanikiwa kuingia oral nikaoata kazi kupitia database tarehe 28.9.2023 na Leo 6.10.2023 historia imewekwa. Nimekuja kuripoti hapa DMI DAR ES SALAAM. nimepokelewa viruri kabisa
#NITAKUWA MTUMISHI MWEMA

Hongera sana mkuu😄 shabalax

Hakika hii ni habari njema kabisa, nakutakia maisha mema katika Utumishi wa Umma. Na pia hongera sana kwa kupokelewa vizuri katika mazingira yako ya kazi, hiyo ni dalili nzuri kuwa upo sehemu sahihi kwa wakati sahihi.
Katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma na pia katende haki.

Kumbuka kutoa shukrani na hasa kwa wenye mahitaji maalumu kama vile watoto yatima kutoka katika jamii inayokuzunguka kwani haikuwa rahisi kufika hapo na pia milango ya bahati itazidi kufunguka kwako.

Kila la kheri. 👊 👊
 
Hongera sana mzee
Hongera sana. Mungu akutangulie katika majukumu Yako.
Wacha tuendelee kusubiria sijui nafasi zimebaki ngapi yan.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 

Hongera sana ndugu Lee Harvey Oswald1

Nakutakia maisha mema katika Utumishi wa Umma, katekeleze majukumu yako vizuri kwa kuzingitia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma nakuhakikishia utaipenda sana kazi yako.

Furahia siku hii ya kumbukumbu kwako ukiwa pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu sana kwan haikuwa rahisi kufikia mafanikio hayo.

Mwsho, kumbuka kutoa shukrani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji mkubwa kutoka katika mazingira yako, kama vile watoto yatima na wazee ikiwa kama ishara ya kumshukuru M/Mungu kwa mema aliyokutendea

Kila la kheri mwamba. 👊 👊
 
Pole sana mkuu!
 
Hongera sana mkuu, kila la kheri kwako
 
Hongera sana mwamba!!
 
hongera sana kaka.Wasalimie masjala ya wazi..
 
Hongera san kiongozi ukawe mtumishi bora[emoji1666]

Sent from my TECNO KH6 using JamiiForums mobile app
 
Mamlaka ya Mapato inapendwa na kila mtu kwahiyo kasoro za hapa na pale na malalamiko ya hapa na pale ni lazima yawepo. Taasisi ziachwe zitafute talent zitakazo fit mahitaji yao.
Tatizo kujuana kwingi na undugunization, taasisi zikiachwa zisaili zenyewe zitaanza kupachika ndugu, jamaa na marafiki si ajabu huko nyuma tuliona baadhi ya taasisi kujaa watu wa asili ya eneo moja

Lets be honest, wengi tumetoboa utumishi bila kufahamu hata mmoja, sasa rejea kwa wale walioajiriwa serikalini before mfumo wa tume utaniambia

Kama sio kujuana basi utatoa sana rushwa. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…