Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Hongera sana mkuu, ikawe heri kwako nina imani wachangia uzi huu dua zao zimehusika mahali kwa jinsi ulivyokuwa unajitoa katika kuchangia na kujibu maswaliwakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Labda kama kwenu ni watoto wa vigogo lakini sisi masikini...walala hoi na wenye wazazi ambao kwao mlo ni mara mbili mchana na usiku.... Watuachie tu PSRS tufanye huko usaili....Mamlaka ya Mapato inapendwa na kila mtu kwahiyo kasoro za hapa na pale na malalamiko ya hapa na pale ni lazima yawepo. Taasisi ziachwe zitafute talent zitakazo fit mahitaji yao.
Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Hongera sana mkuuWanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Labda kama kwenu ni watoto wa vigogo lakini sisi masikini...walala hoi na wenye wazazi ambao kwao mlo ni mara mbili mchana na usiku.... Watuachie tu PSRS tufanye huko usaili....
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema.Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Mkuu PSRS wanatenda haki tunaimani nao sana.Labda kama kwenu ni watoto wa vigogo lakini sisi masikini...walala hoi na wenye wazazi ambao kwao mlo ni mara mbili mchana na usiku.... Watuachie tu PSRS tufanye huko usaili....
Ni sahihiMkuu PSRS wanatenda haki tunaimani nao sana.
Asante sana kaka kwa ushaur mzur ulionipa nitazngatiaHongera sana ndugu Lee Harvey Oswald1
Nakutakia maisha mwema katika Utumishi wa Umma, katekeleze majukumu yako vizuri kwa kuzingitia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma nakuhakikishia utaipenda sana kazi yako.
Furahia siku hii ya kumbukumbu kwako ukiwa pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu sana kwan haikuwa rahisi kufikia mafanikio hayo.
Mwsho, kumbuka kutoa shukrani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji mkubwa kutoka katika mazingira yako, kama vile watoto yatima na wazee ikiwa kama ishara ya kumshukuru M/Mungu kwa mema aliyokutendea
Kila la kheri mwamba. 👊 👊
Tulishajua kuwa placement zinachelewa basi haina haja ya kuwaza sana, just project miezi kadhaa mbele huku ukiendelea na hustle zingine kitaa.Ila kilichotokea kwangu.moto wangu umekufa ganzi .
Nimejitolea liwalo na Liwe.
Kama itakuwa yangu nitamshukuru Mungu.
Isipokuwa mipango ya Mungu na maandalizi ya database.
Hawa jamaa wapewe maua yao, wanatenda haki kwa asilimia kubwa.Mkuu PSRS wanatenda haki tunaimani nao sana.
Hongera sanaNamshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....
Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....
kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Sisi mbona Placement wanadonoa Sana mzee ? Miezi minne sasa ,Dah !IT mwaga[emoji91][emoji91][emoji91]