Hongera sana ndugu
Lee Harvey Oswald1
Nakutakia maisha mwema katika Utumishi wa Umma, katekeleze majukumu yako vizuri kwa kuzingitia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma nakuhakikishia utaipenda sana kazi yako.
Furahia siku hii ya kumbukumbu kwako ukiwa pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu sana kwan haikuwa rahisi kufikia mafanikio hayo.
Mwsho, kumbuka kutoa shukrani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji mkubwa kutoka katika mazingira yako, kama vile watoto yatima na wazee ikiwa kama ishara ya kumshukuru M/Mungu kwa mema aliyokutendea
Kila la kheri mwamba. 👊 👊