Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

  • niende nitafute kamusi kwa ajili yako au
  • wewe ni mshamba na Limbukeni,
-hata ukiwa harsh, ukiwa mpole juu yako, vyovyote utakavyokuja mimi nakulipua tu
Haya majibizano s mahala pake humu wakuu em tuwen kitu kimoja kila mtu Mungu atampa sehem anayostahiki iwe nzur au mbaya kuna wenzet wanatak hio mbaya lakin mpka sasa hawajaipata muhim kutoka katik dimbwi baya la ujobless tu maisha yaendelee na kuzidi kupambana na fursa nyingine za kuongeza kipato naomb kuwasilisha wakuu ukipata ni vyema kushkur Kwa chochot kile ulichojaaliwa
 
Tamisemi wametangaza kazi za mkataba kupitia PSRS. Hizo zinazojiita taasisi kwanini zishindwe kutangaza kazi za mkataba? Tanzania inahitaji kiongozi mmoja tu imara mwenye msimamo taasisi zote zingenyooka.
"KNOW WHO" imekuwa kubwa sana. Hata hizo za TRA mnazosubiria mtaona maajabu. Watu hawana uzoefu wa kuajiri ila wanalazimisha. Waliofanya interview Udsm-Yombo wameona. Muda wa kukusanya wengine wanaandika, wengine wamewasha simu na mitihani wanayo mkononi, wengine wako kwenye foleni ya kukusanya, wengine foleni ya kusain out. Kusimamia mtihani na kutunga mtihani in ujuzi ambao walimu wanasomea miaka 3. Sio kila mtu anaweza kirahisi hivyo.
 
Wadau naomba msaada kwa ajili ya ndugu yangu ambaye majina yake yana dosari kidogo kwa herufi moja.

Chet cha kuzaliwa: Amos Agrey Mathias
Form four: Amos A Mathias
Form six: Amos A Mathias
Chuo: Amos A Mathias
NIDA: Amos Aggrey Mathias

Dosari jina la kati kati la cheti cha kuzaliwa limekosa herufi 'g' moja badala ya kuwa aggrey limeonekana agrey, je hili ni tatizo katika mchakato wa ajira? Na kama ni tatizo aanzie wapi?
 
M

Mambo ya kwenda kuapa tu hapo mahakamani...Na hiyo barua ya kiapo anakuwa anaambatanisha popote pale...Kwenye kuomba kazi hadi akiingia kwenye Utumishi.
 
Wadau naomba msaada kwa ajili ya ndugu yangu ambaye majina yake yana dosari kidogo kwa herufi moja.

Chet cha kuzaliwa: Amos Agrey Mathias
Form four: Amos A Mathias
Form six: Amos A Mathias
Chuo: Amos A Mathias
NIDA: Amos Aggrey Mathias

Dosari jina la kati kati la cheti cha kuzaliwa limekosa herufi 'g' moja badala ya kuwa aggrey limeonekana agrey, je hili ni tatizo katika mchakato wa ajira? Na kama ni tatizo aanzie wapi?
Hapo option ni kubadili cheti Cha kuzaliwa kiwe kama NIDA....au kubadili NIDA iwe kama Cha kuzaliwa.

Njia rahis inategemea na sehem alipo...kama yupo karbu na ofsi za NIDA basi anaweza fika akiwa na cheti Cha kuzaliwa na kuomba wabadlishe.

Kama Yuko mbali na ofs za NIDA aende wilayan akaandkishe cheti Cha kuzaliwa kipya kifanane na taarfa zake za NIDA.

Upande wa kubadlsha chet Cha kuzaliwa ni rahs ukiwa na Chochote (mkono mtupu haulambwi)
 
sawa sawa nimekuelewa kiongozi ngoja nimshauri hii kitu hapa
 
Wadau naomba msaada kwa ajili ya ndugu yangu ambaye majina yake yana dosari kidogo kwa herufi moja.

Chet cha kuzaliwa: Amos Agrey Mathias
Form four: Amos A Mathias
Form six: Amos A Mathias
Chuo: Amos A Mathias
NIDA: Amos Aggrey Mathias

Dosari jina la kati kati la cheti cha kuzaliwa limekosa herufi 'g' moja badala ya kuwa aggrey limeonekana agrey, je hili ni tatizo katika mchakato wa ajira? Na kama ni tatizo aanzie wapi?
Izo A kwenye vyeti vyake vya shule zina "G" ngapi

Kama ni G moja the same na cheti cha kuzaliwa basi akabadili taarifa za nida

Hata haisumbui ni kwenda na vielelezo tu
 
Kama kirefu cha initial A kina G moja basi akabadili taarifa za nida nazani ni 30k

Ila kama initial ina G mbili basi akabadili cheti cha kuzaliwa hii kwenye 10k hivi

Asiangalie gharama aangalie usahihi wa taarifa zake.

Kwa haraka haraka nazani shida ipo kwenye nida maana kama alikuwa registered sehemu tofauti tofauti kwa kutumia cheti icho icho cha kuzaliwa na majina ayo ayo basi shida itakuwa nida.
 
Anasema kwote ni AMOS AGGREY MATHIAS kasoro cheti cha kuzaliwa ndio AMOS AGREY MATHIAS
 
Hongera sana
mfwende sawadogo mzee uliyepiga Usaili PT,UT na kwingineko.Lakini huko kote Mungu hakupanga,huku ulikopata sasa ndio Mungu alipanga,ambako hukutumia hata Connection yoyote ile.Hakika Kila mmoja tumeona uzuri wa PSRS.
Kapige kazi,uwe mtumishi mwema,jishushe kwa uliowakuta jua kazi na Ongeza Kitu huko ulikopangwa.
Big up Champion Mzee wa Manyoni...
Bila shaka Yule mchumba wetu hawezi kukimbia sasa
 
Thank u champ, wkati wa MUNGU ndio wakati sahihi.namimi leo nimtumishi

sitaki kuwakumbusha watu moto ule wa UT&PT.

nawaombea wana wote wanao haso kutafuta ajira utawala huu wa maza, hitaji lao lifanikiwe.
 
Back
Top Bottom