Lupe Tz
JF-Expert Member
- Aug 7, 2021
- 259
- 910
Daah kama unanijua vile nikumbushe mzeeHongera sana mkuu CDO Lupelengetya(nimekuzoom [emoji3]), kila la kheri ukawe mtumishi mwema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah kama unanijua vile nikumbushe mzeeHongera sana mkuu CDO Lupelengetya(nimekuzoom [emoji3]), kila la kheri ukawe mtumishi mwema.
Haya majibizano s mahala pake humu wakuu em tuwen kitu kimoja kila mtu Mungu atampa sehem anayostahiki iwe nzur au mbaya kuna wenzet wanatak hio mbaya lakin mpka sasa hawajaipata muhim kutoka katik dimbwi baya la ujobless tu maisha yaendelee na kuzidi kupambana na fursa nyingine za kuongeza kipato naomb kuwasilisha wakuu ukipata ni vyema kushkur Kwa chochot kile ulichojaaliwa-hata ukiwa harsh, ukiwa mpole juu yako, vyovyote utakavyokuja mimi nakulipua tu
- niende nitafute kamusi kwa ajili yako au
- wewe ni mshamba na Limbukeni,
Hahahaha amekuzoom kweny Pdf pale hapo Mlele Katavii.Daah kama unanijua vile nikumbushe mzee
Daah inatia faraja sana afsa hongera sanaNamshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....
Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....
kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Amina kaka Mungu ni mwemaDaah inatia faraja sana afsa hongera sana
Mambo ya kwenda kuapa tu hapo mahakamani...Na hiyo barua ya kiapo anakuwa anaambatanisha popote pale...Kwenye kuomba kazi hadi akiingia kwenye Utumishi.Wadau naomba msaada kwa ajili ya ndugu yangu ambaye majina yake yana dosari kidogo kwa herufi moja.
Chet cha kuzaliwa: Amos Agrey Mathias
Form four: Amos A Mathias
Form six: Amos A Mathias
Chuo: Amos A Mathias
NIDA: Amos Aggrey Mathias
Dosari jina la kati kati la cheti cha kuzaliwa limekosa herufi 'g' moja badala ya kuwa aggrey limeonekana agrey, je hili ni tatizo katika mchakato wa ajira? Na kama ni tatizo aanzie wapi?
Hapo option ni kubadili cheti Cha kuzaliwa kiwe kama NIDA....au kubadili NIDA iwe kama Cha kuzaliwa.Wadau naomba msaada kwa ajili ya ndugu yangu ambaye majina yake yana dosari kidogo kwa herufi moja.
Chet cha kuzaliwa: Amos Agrey Mathias
Form four: Amos A Mathias
Form six: Amos A Mathias
Chuo: Amos A Mathias
NIDA: Amos Aggrey Mathias
Dosari jina la kati kati la cheti cha kuzaliwa limekosa herufi 'g' moja badala ya kuwa aggrey limeonekana agrey, je hili ni tatizo katika mchakato wa ajira? Na kama ni tatizo aanzie wapi?
sawa sawa nimekuelewa kiongozi ngoja nimshauri hii kitu hapaHapo option ni kubadili cheti Cha kuzaliwa kiwe kama NIDA....au kubadili NIDA iwe kama Cha kuzaliwa.
Njia rahis inategemea na sehem alipo...kama yupo karbu na ofsi za NIDA basi anaweza fika akiwa na cheti Cha kuzaliwa na kuomba wabadlishe.
Kama Yuko mbali na ofs za NIDA aende wilayan akaandkishe cheti Cha kuzaliwa kipya kifanane na taarfa zake za NIDA.
Upande wa kubadlsha chet Cha kuzaliwa ni rahs ukiwa na Chochote (mkono mtupu haulambwi)
Izo A kwenye vyeti vyake vya shule zina "G" ngapiWadau naomba msaada kwa ajili ya ndugu yangu ambaye majina yake yana dosari kidogo kwa herufi moja.
Chet cha kuzaliwa: Amos Agrey Mathias
Form four: Amos A Mathias
Form six: Amos A Mathias
Chuo: Amos A Mathias
NIDA: Amos Aggrey Mathias
Dosari jina la kati kati la cheti cha kuzaliwa limekosa herufi 'g' moja badala ya kuwa aggrey limeonekana agrey, je hili ni tatizo katika mchakato wa ajira? Na kama ni tatizo aanzie wapi?
Salute, imeeleweka mkuuM
Mambo ya kwenda kuapa tu hapo mahakamani...Na hiyo barua ya kiapo anakuwa anaambatanisha popote pale...Kwenye kuomba kazi hadi akiingia kwenye Utumishi.
vyeti vya shule majina ya kati ni initials tuIzo A kwenye vyeti vyake vya shule zina "G" ngapi
Kama ni G moja the same na cheti cha kuzaliwa basi akabadili taarifa za nida
Hata haisumbui ni kwenda na vielelezo tu
Yes ni kweli ni initial tu lakini zina kirefu chakevyeti vya shule majina ya kati ni initials tu
Anasema kwote ni AMOS AGGREY MATHIAS kasoro cheti cha kuzaliwa ndio AMOS AGREY MATHIASKama kirefu cha initial A kina G moja basi akabadili taarifa za nida nazani ni 30k
Ila kama initial ina G mbili basi akabadili cheti cha kuzaliwa hii kwenye 10k hivi
Asiangalie gharama aangalie usahihi wa taarifa zake.
Kwa haraka haraka nazani shida ipo kwenye nida maana kama alikuwa registered sehemu tofauti tofauti kwa kutumia cheti icho icho cha kuzaliwa na majina ayo ayo basi shida itakuwa nida.
Thank u champ, wkati wa MUNGU ndio wakati sahihi.namimi leo nimtumishiHongera sana
mfwende sawadogo mzee uliyepiga Usaili PT,UT na kwingineko.Lakini huko kote Mungu hakupanga,huku ulikopata sasa ndio Mungu alipanga,ambako hukutumia hata Connection yoyote ile.Hakika Kila mmoja tumeona uzuri wa PSRS.
Kapige kazi,uwe mtumishi mwema,jishushe kwa uliowakuta jua kazi na Ongeza Kitu huko ulikopangwa.
Big up Champion Mzee wa Manyoni...
Bila shaka Yule mchumba wetu hawezi kukimbia sasa
Basi akabadili cheti cha kuzaliwa chapu tuAnasema kwote ni AMOS AGGREY MATHIAS kasoro cheti cha kuzaliwa ndio AMOS AGREY MATHIAS
Hongera sana nimefurahi juu yakoThank u champ, wkati wa MUNGU ndio wakati sahihi.namimi leo nimtumishi
sitaki kuwakumbusha watu moto ule wa UT&PT.
nawaombea wana wote wanao haso kutafuta ajira utawala huu wa maza, hitaji lao lifanikiwe.